ACT Wazalendo wamefungua Ofisi Morogoro

ACT Wazalendo wamefungua Ofisi Morogoro

Joined
May 8, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Ndugu wanachama, wakereketwa, wapenzi na wafuasi wote wa chama kipendwa cha ACT WAZALENDO mkoani Morogoro tunapenda kuwataarifu kwamba chama chetu turufu kimefungua ofisi ya kisasa maeneo ya Boma road karibu na ofisi ya chama wananchi CUF, Karibuni sana kwa wanaoitaji kadi, wenye maswali na wanaohitaji majibu.

TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.
 
Embu nitoe nuksi kwenye uzi wa wasaliti naona watu wameususia.
 
Nugu wanachama, wakereketwa, wapenzi na wafuasi wote wa chama kipendwa cha ACT WAZALENDO mkoani Morogoro tunapenda kuwataarifu kwamba chama chetu turufu kimefungua ofisi ya kisasa maeneo ya Boma road karibu na ofisi ya chama wananchi CUF, Karibuni sana kwa wanaoitaji kadi, wenye maswali na wanaohitaji majibu. TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.

msariti zuberi eti leo amepigwa sana geita?zzk ni yuda eskarioti
 
Asante kwa taarifa endeleni kusogeza Huduma karibu na wananchi .
 
Back
Top Bottom