ACT Wazalendo waibomoa Ukawa na Lowassa KIGOMA

ACT Wazalendo waibomoa Ukawa na Lowassa KIGOMA

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024



















​

Wana Kigoma wasema wamechoshwa na ahadi dhaifu za Lowassa.​
 
Mbona mm nipo kigoma kijiji cha kiganza na hatujachoka na lowasaaaa ndio njiaaaa
 
Kwa hiyo adui namba moja wa ACT ni UKAWA sio chama tawala sio? Halafu mkiitwa CCM B mnatokwa na povu. Mpinzani gani anapingana na wapinzani wenzake badala ya kukipinga chama kilichoko madarakani?

ACT bure kabisa.

Tiba
 
Halafu kumbe mleta mada ni yule yule anayeleta post za kupikwa za chama cha magamba!!!!!

Tiba
 
Mr Chin unatumikia mabwana wawili?
 
Last edited by a moderator:
Lowassa anawasumbua sana CCM, sijui kwanini wanamuogopa namna hii
 
Lakini hakuna cha ajabu ACT sana sana watabahatisha angalau mbunge mmoja kigoma peke yake!!

Kwingine kote wasahau.. Labda kwenye uchaguzi mwingine...
 
Mkuu, kwani Lowasa ndo aliyeko maddarakani? Pia naona kama CCYEM NA ACT ni kimoja, maana japo ACT na CCYEM kila chama kina mgombea wake, wewe wamfagilia Mapadlock badala ya Anne



















​

Wana Kigoma wasema wamechoshwa na ahadi dhaifu za Lowassa.​
 
mwanaume akishinda bar mnalalamika unafanya nini huku sa hii unaacha kuhudumia ndoa lofa wewe

Sasa kwa nini unanitukana? Sawa mimi lofa nakubaliana na wewe lakini pamoja na ulofa wangu nimeweza kuligundua hilo kwamba ACT ni mpini wa CCM wa kupunguza nguvu za wapinzani. Ikitokea CCM ikashindwa uchaguzi huu, ACT itafutika kwenye uso wa dunia.

Lofa katika ubora wangu, Tiba
 
Back
Top Bottom