Akili ya kuku kweli. ..kwani kufanana lazima mzaliwe siku moja? Kama ndivyo mbona mapacha wangekuwa wengi. ..acha kupinga kwa akili finyu. ...ACT-WAZALENDO kinafanana na TANU kimsingi na imani. ..vyama vingine sijui vinataka kuipeleka wapi nchi havisemi wazi. ..Hivi chadema wanaposema wako mlengo wa kati na Ccm iko mlengo gani? Mtaubadilisha vipi mfumo mnaoupigia kelele kwamba ndio tatizo kwa kutumia falsafa ile ile binadamu walewale tofauti ni majina na sura tu. ..alafu mnasema ni mabadiliko. ..Ujamaa wa kidemokrasia na azimio la Tabora lililobeba miiko ya uongozi ndio suluhisho la ubovu wa mfumo na watu. Hakuna chama kingine kinachoyaimba haya wazi. Ni ACT-WAZALENDO tu. Baado hakifanani na TANU? ....Kama Baado kakojoe ulale una usingizi mwingi mno. ....