ACT Wazalendo ni kama TANU


Kwani zile zilizozinapokelewa kupitia western union nazo ni michango ya wanachama?
 
Wewe mwalimu Kaijage wa genge la wahuni & wasaliti a.k.a ACT ni tapeli. Hangaikia mambo ya ndani ya genge lenu. CHADEMA ni taasisi imara isiyotegemea umaarufu wa mtu mmoja km genge lenu

Afadhali umempatia alichostahili na umempa cash
 
Tatizo nini! tena mm naongezea mhusika ni ZUZU WENU MBOWE, akili zenu zakushikiliwa na Mtu ZERO asie semwa kama mungu tunajua nimungumtu wa vilaza wa cdm na si wote

Punguza kangara za mchana ndugu yangu, unaona unavyohamaki kama mlevi wa gongo? kaazi kweli kweli ukipewa buku tano za kupiga porojo humu kanunue mchele na maharage wanao wale acha kangara a mchana
 
Tatizo wengi mnahisi matusi ndio silaha yenu, tunawafunza siasa taratibu
 
Punguza kangara za mchana ndugu yangu, unaona unavyohamaki kama mlevi wa gongo? kaazi kweli kweli ukipewa buku tano za kupiga porojo humu kanunue mchele na maharage wanao wale acha kangara a mchana
MM siko ivyo wapo wakupewa
 
Wewe tunakujua kuwa bila zzk huwezi kuishi
usiosemee moyo. ajiimbia lady JD. nenda kasikilize huo wimbo. hunijui, na huna cha kukoment juu yangu. huyo zitto namuonaga kwenye media tu. sijawahi hata kumuona physically.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…