Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,359
- 28,008
Mimi sijaelewa, ACT imeanzishwa mwaka 2015, TANU 1954, leo vinafanana? Kawadanganye mwandiga huko.Nenda kawadanganye wahuni wenzako huko ACT. ACT haina hadhi ya kuitwa chama, bali ni genge la wahuni, majizi, walaghai, matapeli na wasaliti. Hapa unapoteza muda wako tu mkuu
ACT ni chama pekee chenye dhamira ya dhati ya ukombozi. Tanzania ilipofikia Leo inahitaji chama chenye uthubutu wa ukombozi na sio uthubutu wa kusaka madaraka.
Mpaka sasa ACT inaamini katika kujitegemea zaidi ya kutegemea wahisani kama vilivyo vyama vikubwa vilivyotutangulia.
...
ACT inaamini katika uboreshaji wa uchumi wa ndani zaidi kama ilivyokua TANU kitu kisichoaminiwa na vyama vingine vya siasa Tanzania.
Kuelekea uchaguzi mkuu ni vyema tukalisoma vyema Azimio la Tabora ili tuujue muelekeo wa Tanzania yeti.
2015 ni mwaka wa maamuzi sahihi, ni mwaka wa mnyonge kuthaminiwa naye kujithqmini.
ACT kama TANU
Ndatama Mafuru
Wakukushinda weweUtawadanfanya wajinga wenzako.
Acha kujidharilisha mwenyeweMimi sijaelewa, ACT imeanzishwa mwaka 2015, TANU 1954, leo vinafanana? Kawadanganye mwandiga huko.
Mtu akim challenge Mungu wenu Mbowe anaitwa msaliti. Wengine kama Chacha Wangwe mnawaua
Upo sawa mwenye akili hatashindwa kuelewaHatuhitaji nguvu nyingi kuwaelewesha hili
Acha kujidharilisha mwenyewe
Tatizo nini! tena mm naongezea mhusika ni ZUZU WENU MBOWE, akili zenu zakushikiliwa na Mtu ZERO asie semwa kama mungu tunajua nimungumtu wa vilaza wa cdm na si woteKumbe una ushahidi walimuua CDM? get prepare kutoa ushahidi, wewe ni mtu muhimu sana kwani tulikuwa tunakosa ushahidi. Ila Zitto hapana ndugu ni msaliti haswaa hasa akiahidiwa pesa hata CCM wanajua hilo.
Mbona una kataa kula samaki una agiza pweza ule!Kiswahili pia hujui? naona unachapia na Kiswahili cha KIRUNDI!
Naona umetekeleza majukum uliyopewa na mungu wenu kutukana asili ya fuata upepo, umemtukana umetimiza wajibu, bangi tz inalimwa kwao na mungumtu wenuKwa hiyo Zitto ni sawa na Nyerere? Nafikiri aidha unavuta bange sana mchana au ulitoroka 'mirembe' kabla hujapona vzr au uwezo wako wa kuwaza au IQ yako =0.0001