CDM,CCM, Simba, Yanga hivi vutu vinatuchelewesha sana
2013 ZZK alifukuzwa na FAM, CDM kisa Waraka wake waliotafsiri unania ya kumpindua FAM...2015 CDM wakampokea Lowasa kutoka kwa CCM na kumtunuku Kiti cha kugombea Urais ZZK alianzisha chama chake bila msaada wowote Leo wanatrend zaidi ya CDM...CDM tena wanaanza chokochoko kwamba ACT ni CCM B hakika Nyani haoni mndukule