Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
TAARIFA KWA WANAHABARI
KESHO Juampili February 19/2017 viongozi Wa chama cha ACT Wazalendo wataongea na waandishi Wa habari kuhusu masuala mbali mbali ya nchi
Muda:Saa tano kamili asubuhi(5:00)
Mahali:Makao makuu ya ACT Wazalendo yaliyopo Sayansi Kijitonyama Jirani na Kanisa la KKKT
muhimu kuzingatia muda