ACT wazalendo,CUF,NCCR pia waitishe vikao na kutoa kauli kuhusu Bashite,wakati ni huu!!

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Sasa ni wakati wa kukabiliana na watu hawa wawili bila kuwaachia hata hatua moja ya kupoza mambo.

Mtu na mtu, mguu kwa miguu

Nashauri vyama hivi vitoe kauli kama sehemu ya makabiliano na hali ya mambo inayoletwa na hawa jamaa wawili
 
Vyama vya upinzani viandae maandamano ya pamoja kupinga udhalimu huu. Bila umoja sote tutakuwa koloni la kolomije.
 
WAPINZANI WA NCHI HII KWELI MIYEYUSHO

BADALA YA KUPAMBANA WAPATE KATIBA MPYA NA TUMEHURU WAO WANAPAMBANA MAKONDA AONDOLEWW MADARAKANI
 
Hivi mmeshaitisha vikao vingapi na vimesaidia nini?

Act hawana pesa za kugawa posho
 
Back
Top Bottom