Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 707
- 1,150
Agosti 17, baada ya kuzisikia hoja za Luhaga Mpina akiwahutubia wafuasi wake dhidi ya Rais Samia na Serikaliyake, niiandika makala tajwa hapo chini, ambayo jana Agost 26, yametimia.
GE2025 - Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali. Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...www.jamiiforums.com
Wahenga walitueleza, ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji. Hiki ndicho kilichowapata ACT baada ya mgombea urais wao kukatwa.
View: https://vm.tiktok.com/ZMAYghM6K/
Sasa swali linabaki, Je; ACT wataendelea kushiriki uchaguzi au watajiunga na CHADEMA?
Itakumbukwa, hoja za CHADEMA kwenye madai yao ya No Reforms, No Election, ilikuwa ni pamoja na wagombea wao kuuawa, kuenguliwa kugombea, kufungiwa ofisi wasirudishe fomu za uteuzi, kuzuiliwa mawakala wao na kutokutangazwa wakishinda. Mambo haya, ACT sasa nao yamewafika. Kazi kwao, kususa au kutiki

Tutashiriki kwa mujibu wa katiba ya JMT kama mgombea wetu wa urais hajakidhi vigezo na muda umekwisha wa kurejesha fomu umekwisha basi bendera ya Act wazarendo itapeperushwa vema na wagombea wa kiti cha udiwani na ubunge kote nchini
Hii nchi ngumu sana! Mtu aliyeshindwa kumsaidia mgombea wake kurudisha fomu, anatuaminisha kuwa ataweza kulinda kura?Bado hamjaelewa. Mmeshindwa hata kumsaidia mgombea kurudisha fomu mpaka anafungiwa geti.
uchaguzi upi/gani.ACT bado hawana sababu ya kukimbia uchaguzi
Si huu huu, Polepole anaouita wa maigizo.uchaguzi upi/gani.
Agosti 17, baada ya kuzisikia hoja za Luhaga Mpina akiwahutubia wafuasi wake dhidi ya Rais Samia na Serikaliyake, niiandika makala tajwa hapo chini, ambayo jana Agost 26, yametimia.
GE2025 - Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali. Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...www.jamiiforums.com
Wahenga walitueleza, ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji. Hiki ndicho kilichowapata ACT baada ya mgombea urais wao kukatwa.
View: https://vm.tiktok.com/ZMAYghM6K/
Sasa swali linabaki, Je; ACT wataendelea kushiriki uchaguzi au watajiunga na CHADEMA?
Itakumbukwa, hoja za CHADEMA kwenye madai yao ya No Reforms, No Election, ilikuwa ni pamoja na wagombea wao kuuawa, kuenguliwa kugombea, kufungiwa ofisi wasirudishe fomu za uteuzi, kuzuiliwa mawakala wao na kutokutangazwa wakishinda. Mambo haya, ACT sasa nao yamewafika. Kazi kwao, kususa au kutiki
Mpira umerudishwa kwao sasa! Watanzania wanasubiri uthibitisho wa hoja ya Polepole kuwa ACT wana ndoa na CCM.Tatizo ni ZZK alishalamba asali anawachora tu wenzie.