ACT-Tanzania wajitosa sakata la CUF

ACT-Tanzania wajitosa sakata la CUF

police wa Tanzania.wa ajabu sana et tishio la ugaidi mbona mikutano ya mwigulu na.kinana hamna tishio la magaidi? hizo silaha zilizoibwa ikwiriri ndio zinaenda kuhatarisha maandamamo?mara ngapi silaha zinaibwa? uraiani silah ziko ngapi.mnajua?
mikutano ya ccm hailengwi na.magaidi eb
hapo tunaini magaidi ni ccm ndio maana maandano ya upinzani unakuta mabom ya ccm.hamna
gaidi no1 ni
lameck madelu mkumbo
 
kwenu mwisho wa reli tu kwingine msisubutu

hili nia tamko rasmi la chama pia ACT-Tanzania kwa muda mchache sana imeaminika kwa umma ndio maana wamwamua kutupa viti vya uenyekiti wa mitaa tofauti na vyama vingine wamekuja kuaminika baada ya miaka 10
 
inabidi ukawa ikomalie tukio hili ipasavyo...isikubali majibu ya kisiasa...ikiwezekana wafungue kesi...video si zinaonesha sura za polisi
 
Chadema mbona kimya au mmefurahi Lipumba kudundwa na polisi?
laki si pesa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amelaani vikali unyama aliofanyiwa Mwenyekiti wa CUF Professor Ibrahim Lipumba hapo jana.

Dr Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa UKAWA amesema wanachama wa CUF walikuwa na haki Kikatiba ya kuandamana kuwakumbuka watanzania waliouawa Zanzibar mwaka 2001.

Dr Slaa ameshtushwa na kitendo cha polisi kuwavamia kinyama na kuwapiga vibaya waandamanaji ambao hawakuwa na silaha yoyote.

Kiongozi huyo wa upinzani amemtaka Rais Kikwete kujifunza kutoka mataifa mengine jinsi yanavyoheshimu maandamano na demokrasia hasa kwa vile amekuwa akizunguka mataifa mbalimbali duniani.

Source:Mwananchi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom