logician mkuu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 792
- 221
Una mawazo mazuri sana, tambua tunasoma na kuheshimu mawazo yako.Dah! kweli! heri yao wale wenye shibe tena shibe ya milele, yaani wao hawahisi njaa milele maana matumbo yao yana ukuta maalum wenye 'Alloy'. Yaani watu wenye njaa ni shida ndio maana tunawashauri watu wafanye utaratibu wasiwe na njaa na hii pia ni nzuri kwa ajili ya usalama wa chakula (food security) nchini.
Una mawazo mazuri sana, tambua tunasoma na kuheshimu mawazo yako.
Mimi binafsi nategemea kusoma falsafa, mipango na mikakati halisi inayotekelezeka ndani ya ACT ambayo italeta tofauti kwa wananchi wa Tanzania.
Mpaka sasa bado sijayapata, na sijakata tamaa.
Hawawezi onyesha hawa wachumia tumbo. Zzk hawezi jianika yupo kama ruba cdmTunaomba ACT muishi kadri ya msingi wa UWAZI ambao utawatofautisha na vyama vingine.
Kwa kuanzia wekeni wazi mambo ya pesa zilizogharimia usajili.
Nani walichangia, na kwa kiasi gani, na zilitumikaje.
UWAZI mkiuweka katika matendo mtatupata wanachama wengi.
Mkuu haisemwi hivyo, ona hata hujui maskini!, inasemwa hivi "Hawa jamaa ni wanafiki wasaliti wachumia tumbo!" wewe ukisema kwa kifupi tu hivyo unapunguza ladha na ule utamu wenyewe unaotakiwa.Hawawezi onyesha hawa wachumia tumbo.
Tunaomba ACT muishi kadri ya msingi wa UWAZI ambao utawatofautisha na vyama vingine.
Kwa kuanzia wekeni wazi mambo ya pesa zilizogharimia usajili.
Nani walichangia, na kwa kiasi gani, na zilitumikaje.
UWAZI mkiuweka katika matendo mtatupata wanachama wengi.
mbona majibu yako kama ni kuseek sympathy hapa jf? jibu maswali mnayoulizwa sio kuappeal to pity! mnajifanya watu wema wakati nyie ni nyoka wenye sumu kali!Mkuu haisemwi hivyo, ona hata hujui maskini!, inasemwa hivi "Hawa jamaa ni wanafiki wasaliti wachumia tumbo!" wewe ukisema kwa kifupi tu hivyo unapunguza ladha na ule utamu wenyewe unaotakiwa.
Mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya uhasibu lakini nilishawahi kuambiwa na mtaalam mmoja wa mambo ya fedha kwamba mara nyingi taarifa za mapato na matamizi ya taasisi, hutolewa katika vipindi vya robo mwaka, nushu mwaka, robo tatu na mwaka.Sasa sijui kama alichokuwa ameniambia kilikuwa ni ukweli au laa! nadhani wataalam wa mambo ya uhasibu wanaweza kutusaidia ujuzi katika eneo hili, ila kama ilikuwa ni ukweli na kama ACT-Tanzania watakuwa wanafuata utaratibu huo wa kitaalam (kama itakuwa kweli ndivyo unavyotakiwa uwe), basi bila shaka wanaweza wakatoa baada ya kufikisha robo mwaka! pengine tusubiri kidogo halafu tuone kama ACT- Tanzania itafanya hivyo au laa!
Au una taarifa tofauti na hiyo, juu ya muda ambao taasisi hutakiwa kutoa taarifa zake za mapato na matumizi ili tuweze ku-share ujuzi?
Hivi kwa uzoefu wako katika mambo ya zoolojia, ni aina gani ya nyoka mwenye sumu kuliko wote?nyie ni nyoka wenye sumu kali!
mimi ni mwananchi wa kawaida sina uzoefu na mambo ya sijui zolojia sijui nini! labda unisaidie wewe mzoefu wa hayo mambo.ninachokijua ni kwamba kitila na wenzake walikuwa wanakihujumu chama kwa siri ili viongozi waliopo madarakani waonekane wameshindwa! Betlehem hii ni sawa? Tutawaaminije watu km hawa ndio waasisi wa chama chenu?Hivi kwa uzoefu wako katika mambo ya zoolojia, ni aina gani ya nyoka mwenye sumu kuliko wote?
kama wewe pamoja na maelezo yote, kuhusu suala la kina Dr.Kitila, lakini bado tu hujaelewa, nadhani utaelewa kidogo kidogo tu.mimi ni mwananchi wa kawaida sina uzoefu na mambo ya sijui zolojia sijui nini! labda unisaidie wewe mzoefu wa hayo mambo.ninachokijua ni kwamba kitila na wenzake walikuwa wanakihujumu chama kwa siri ili viongozi waliopo madarakani waonekane wameshindwa! Betlehem hii ni sawa? Tutawaaminije watu km hawa ndio waasisi wa chama chenu?