weka picha mkuu tuone kama ni kweli.Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
Wakuu,

Chema CHAJIUZA,kibaya CHAJITEMBEZA!
Peooooooples Poweeeeeeerrrrrrrrrrrrr!
Kwa nini kisiwe mbadala wa CCM badala ya CHADEMA? Je unahitaji kuboreshwa kwa daftari la wapiga kura ndiyo vijana wajiunge? Hivi hiki chama kimeshasajiriwa, maana ninakisoma tu kwenye mitandao? Viongozi wake ni akina nani hasa?Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
@ abakorakamo wewe mzima kweli, vijana gani tujiunge kwenye chama chenye mkono wa makachero na ufadhili wao, huyooo mdini na mkabila ndiye msomi acheni kutumia ujinga wa tanzania kuwaibia ninyi makanjanja.......hicho si chama cha kigoma japo wanakigoma waelewa hawawezi kupoteza muda kwenye hilo genge la wasariti
Kwa nini kisiwe mbadala wa CCM badala ya CHADEMA? Je unahitaji kuboreshwa kwa daftari la wapiga kura ndiyo vijana wajiunge?
Tufahamishe yafuatayo: Kwani usomi unaosema ni upi? Wa kuwa na digrii? Kwani hili ndio tatizo, mbona kuna wasomi lukuki ccm! Lengo ni vijana? Umakini wake ni nini, waanzilishi sio wale walichafua cdm? Mikakati ya kuleta mabadiliko imekaaje? Bila kutuambia hayo kwanza imekuwaje ukajisifu! Haiwezekani ukawa mpenda sifa. Tutawaamini vipi?
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
Chema CHAJIUZA,kibaya CHAJITEMBEZA!
Peooooooples Poweeeeeeerrrrrrrrrrrrr!
mkuu. vijana ambao hawajajiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura ni mashabiki sana wa chama makini ACT
mkuu, ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa dini, kabila wala kanda
mkuu .umeshalewa gongo? jiunge na act ukombolewe