ACT ndani ya Star TV hivi sasa

ACT ndani ya Star TV hivi sasa

kookolikoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
2,800
Reaction score
694
Viongozi wa muda wa ACT Mkoani Mwanza wanahojiwa na Star TV kwenye kipindi cha medani za siasa. Mtangazaji ni Yvonne Kamuntu. Wanasema hadi sasa wana wanachama mikoa 18 ya Tanzania bara ambao wanakidhamini ili wapate usajili wa kudumu.
 
tetetete.....YAANI WANAONGEA PUMBA TU, WALA SIMSHAURI MTU KUFUNGUA STAR TV MAANA UTABOREKA TU.
 
Wanadai wana wabunge na mawaziri kibao wanaowaunga mkono ambao hawawezi kuwataja hivi sasa.
 
Angalia star tv medani za siasa ivona kamuntu anavyowachoresha viongozi wa act mwanza.yaani majibu yao anacheka hana mbavu.
 
Wanakazi kubwa hao ACT maelelezo yao hapo star tv shaka tupu, na huyo Dr. Naona ni wa ramli kwa sababu sikuona sababu za kupambana na CDM badala ya kumwaga sera zao. Km wamekuja kupambana na CDM wataondoka kwenye siasa kwa muda mfupi sana.
 
wanaongea VIZURI SANA, UTADHANI NDIO VIONGOZI WA KITAIFA, WEWE UNAYESEMA WANAONGEA PUMBA UJUI UNACHOSEMA COZ UMESHAZOEA PUMBA ZA LEMA ZA KUANDAMANA NA ZA MBOYE NITAFIA ANGANI, WAKATI DR. SILAA YEYE ANASEMA BOMBA LA GESI LIMEANZIA MTWARA HADI ULAYA, HIVYO UMESHAADHIRIKA MTU AKIONGEA MAMBO YA MSINGI HAUELEWI
 
tetetete.....YAANI WANAONGEA PUMBA TU, WALA SIMSHAURI MTU KUFUNGUA STAR TV MAANA UTABOREKA TU.

wanaongea VIZURI SANA, UTADHANI NDIO VIONGOZI WA KITAIFA, WEWE UNAYESEMA WANAONGEA PUMBA UJUI UNACHOSEMA COZ UMESHAZOEA PUMBA ZA LEMA ZA KUANDAMANA NA ZA MBOYE NITAFIA ANGANI, WAKATI DR. SILAA YEYE ANASEMA BOMBA LA GESI LIMEANZIA MTWARA HADI ULAYA NA ZA GONGO, HIVYO UMESHAADHIRIKA MTU AKIONGEA MAMBO YA MSINGI HAUELEWI
 
tawi la ccm hilo,badala ya kupambana kuwatoa madarakani ccm wao wanapambana na cdm,wapo kwenye payroll ya ccm,hivi mtu makini unaweza kumsikiliza mwigamba!
 
mbeya city.jpg
 
Trust me. this is Alliance for Ccm and Traiters
 
njaa zinawasumbua vijana wadogo wanajiabisha na hili shirika lao la kidini toka kigoma

hao ni al haramain foundation,OIC ndio wanahudumia shughuli zote,makao makuu ya chama ni kigoma ujiji,katiba rasmi imeandikwa kwa lugha ya kiha na baadae kutafsiriwa kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom