issaya mgatta
Member
- Apr 4, 2013
- 32
- 5
Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema nguvu ya Lowassa ilivuruga mpango wake wa kupokea wabunge 50 kabla ya uchaguzi mkuu #MWANANCHI
Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto KABWE amesema nguvu ya LOWASSA ilivuruga mpango wake wa kupokea wabunge 50 kabla ya uchaguzi mkuu #MWANANCHI
huyu jamaa naona sasa kabaki kufanya siasa magazetini tualishindwa hata kumnadi mgombea urais wa chama chake akabaki kujipigia debe mwenyewe ndio maana hata kwenye picha za wagombea ubunge na udiwani wa mikoa mingine alikuwa anaweka picha za chama chake