Act like a lady, think like a man

Ni sawa na kuliambia jua lichomoze magharibi na kuzama mashariki.
 
kitabu kizuri. nilishakisoma kitambo. senkyu.
 
hiyo statement itumike kwa jinsia gan me au ke??? na utakapo mwambia mwanaume act like a lady sipati picha atafanyeje na sitaki hata kujua..!!
 
jifunze kutosoma title peke ake...
 
Hiki kitabu nilishawah kusoma kwa kwel ni kizur,amejitahid sana kuwaelezea wanawake ingawaje yeye ni mwanaume ila madhaifu yapo but kwa kias kikubwa amefanikiwa.
 
ushasome Secrets of Fascinating Womanhood?

A good read too.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…