Agreed.
Kutokuelewa kuko sana, tena kwa pande zote mbili.
Kwa mfano, nina tabia (sijui ni mbaya au ni nzuri) nikitambulishwa kwa mwanamke, kama amependeza kutokana na efforts zake, huwa namwambia genuinely and innocently kuwa amependeza.
Noma, ni ukishaondoka eneo la makutano, nakuja kuambiwa baadae kuwa, "...unajua yule mwanamke niliyekutambulisha siku pale blah blah?" ...... "Ana-kumind.."
Sometimes, just joking around, tayari mwingine anachukulia seriously.