Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mkuu upo? Kimya sana!tetetetete.
swissme
Mkuu upo? Kimya sana!tetetetete.
swissme
Kakimbiwa hata na kina msindi!Kuna watu walimpotosha Zitto, and if want to know anything, ana loyal followers wengi sana CDM kuliko hata huko ACT....
Wewe ukizeeka lazima uwe mchawiSasa mbona anatoka kwenye kilio anaenda kwenye mazishi.
Acha kukariri.Wewe ukizeeka lazima uwe mchawi
Lazima uwe kigaguraAcha kukariri.
Bado weeweeeeee.............Hakuna neno.....ametoka upinzani ameenda upinzani....
Ni kama alivyofanya Kafulila...katoka NCCR kenda CDM.
Sote lengo ni moja tu...kuitoa CCM madarakani.....
Njia tunazotumia kuitoa ni tofauti...wengine wanatumia gari...wengine baskeli......ukiwa ACT ni kama unatumia ndege kufika kule uendako (uharaka)
saa8 vipi??Lazima uwe kigagura
kwani huko ACT walikuwa wanalipwa sh ngapi?Bado hawajastuka Chadema nako fedha imeanza kukauka!
Katoka kwa AhyatohllaKaenda nyumbani (uchagani!)
RIP Filikunjoombeesaa8 vipi??
Mnasubiri tukio gani sasa hivi mdandie??
Brother umesema ukweli ila ukikumbuka sababu zilizomtoa Zitto chadema ni ule ukaskazini. Hivyo tusimtegemee bwana MBOWE na Mzee MTEI siku moja wakubali kushirikiana na Zitto.. Upinzani bado una kazi kubwa ya kufanya ili kuitoa Ccm. ukawa Ungekuwa imara kwa maana ya kuhusisha vyama vingi zaidi vya upinzani wakawa na formal political coalition ingewezekana. Tofauti na hivyo tumeshuhudia kuparaganyika kwa mahusiano ya Ukawa ktk chaguzi za madiwani na mbunge huko Zanzibar.kila chama ( cuf na cdm)wameweka wagombea wao. Lowasa alitarajiwa na wengi kuimarisha Ukawa ili ifikapo 2020 kazi iwe rahisi lakini kashindwa na matokeo yake tumeshuhudia pia mpasuko mkubwa cuf. Lowasa hana mvuto tena miongoni mwa wananchi na hata wanachama wa cdm.ACT works best with CDM, kuna haja ya Zitto kukaa na CDM na kuzungumza, Zitto will thank me for this ....
Zitto anaihitaji chadema Sana kwa sasa kuliko chadema inavyomhitaji, japo ni muhimu!Yes,unajua mkuu tukiacha ushabiki,Zitto na CDM kila mmoja anamuhitaji mwingine