ACT inaingia Jijini Dar es Salaam lini?

ACT inaingia Jijini Dar es Salaam lini?

Gomic

Senior Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
102
Reaction score
30
Wadau na Wazalendo.

Nimeona Tangazo la ACT maeneo ya hapa DSM mjini likiashiria kuwa kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama hiki.

ACT ni chama kinachoangaliwa kwa jicho la karibu na wananchi wengi na masikio yao yapo wazi kusikia kinachozungumzwa na viongozi wa ACT.

Nikiwa kama mzalendo na mkereketwa wa Uzalendo, naweza jua hasa ni lini na viwanja vipi mkutano huu utafanyika?
 
Kwi! Kwi! Kwi!
 
Kwa lipi walilolifanya mpaka utoe kauli kama hii? au kwa kauli ya Supreme traitor kwamba UKAWA ni genge la wasaka tonge? Wapinzani makini lakini upinzani wao ni dhidi ya Chadema/Ukawa. Hebu tumia akili yako bhana.

ACT ndio wapinzani makini.
 
tangu arakat za ACT zianze ni takriban mwaka na zaid sasa cjashuudia vifo wala mabomu yakirindima kwenye mikutano yao. hii inathibitisha ni jinc gan kiko makin na kwakua watz wanapenda aman bac hili ndilo kimbilio lao. hongera kwenu viongoz wa chama kwa kaz nzur yakizalendo
 
Tunahitaji chama chenye miiko kwa viongozi, ACT ndio kimbilio.
 
Kiingie tena jijini Dar, wakati kilianzia Dar na kwenda ku-rebrand kule Kigoma.
Viongozi wake wakuu wote wanaishi Dar siku zote na makao yake makuu yapo Dar.
Hivi bado kinajitambulisha kwa watanzania wakati kimekuwepo zaidi ya mwaka sasa?
 
waachieni wenyewe wahabarishane kupingana nao ni krefusha thread hii ndio kazi waliyopewa kuanzisha thread na kuleta ubishi ili paonekane pana issue kumbe uozo hapa namwangalia lisu bungeni.
 
Kipi kimekufanya uchangie hii post, una chuki mpaka sura imekukakamaa
 
Wewe unasema umeona Tangazo, halafu wewe huyo huyo unatuuliza sisi uwanja wa mkutano na muda mkutano utakapofanyika !.

Yaani ina maana wewe pamoja na ukereketwa wako wa uzalendo umeshindwa hata kuhakikisha unasoma pia eneo na tarehe mkutano huo utakapofanyika ?

Au hilo tangazo halikuonyesha tarehe na uwanja wa mkutano ?!

Back
Top Bottom