ACT inaingia Jijini Dar es Salaam lini?

ACT inaingia Jijini Dar es Salaam lini?

Kiingie tena jijini Dar, wakati kilianzia Dar na kwenda ku-rebrand kule Kigoma.
Viongozi wake wakuu wote wanaishi Dar siku zote na makao yake makuu yapo Dar.
Hivi bado kinajitambulisha kwa watanzania wakati kimekuwepo zaidi ya mwaka sasa?

Mkuu punguza kuweweseka,naona unauliza na kujijibu.
 
Back
Top Bottom