Act hongereni!

Act hongereni!

IBILILO

Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
17
Reaction score
2
Kitendo cha ACT kueneza siasa pasipo chuki kumeongeza imani kwa wananchi na kukipa credit zaidi ya vyama vingine nchini.
 
umenena kweli mkuu! chukua like yangu hiyo!
 
Imani kwa wananchi gani? Na imani ipi hiyo ambayo hawakuwa nayo tayari?
 
ZITO kawaacha hoi cdm songea.walitaraji kusikia siasa kama za kwao zakusemana hovyo.
huyu jamaa atawasumbua sana cdm.

nayeye kasema kabisa hatakaa kuongelea yaliyotokea cdm.
leo songea kaweka histolia mzarendo ZITO
 
Nahisi mnaota ndoto za mchana ...ccm na tiss yake wameshindwa kuinyamazisha cdm ijekuwa huyo mburura
 
Kitendo cha ACT kueneza siasa pasipo chuki kumeongeza imani kwa wananchi na kukipa credit zaidi ya vyama vingine nchini.

Hakika ACT wameonesha jinsi siasa zinavyo takiwa kuendesha..! Hiki chama kimejaa wazalendo tupu.
 
Nahisi mnaota ndoto za mchana ...ccm na tiss yake wameshindwa kuinyamazisha cdm ijekuwa huyo mburura

ACT hawajafika kuongelea mambo yenu cdm.punguzeni jazba.zito alisema nanukuu.mimi zito cdm kimenilea nimetoka nacho mbali nitakuwa wa mwisho kuondoka cdm kwa rizaa yangu labda wamfukuze.kwasababu najua nikitoka leo cdm itameguka kitu ambacho mimi sikifurahii kuona cdm inameguka.mwisho wa kumnukuu.

kama aliwaambia akawatahadharisha mkazarau yanini leo mje kulialia?tulieni zito anaeneza siasa za kisasa kwa sera za ujamaa.ACT wazalendo pamoja tutalijenga taifa letu
 
Anayepaswa kujisifu ni yeye avuaye na sio yule avaaye. Time will tell!
 
Back
Top Bottom