ACT - Chama cha Ukweli & Uwazi!

Dj anataka kumuuzia chama fisadi Lowasa kwa bil10 nani atamfunga paka kengere?
Mkuu moja ya masharti ya kiongozi mkuu,ni kutohojiwa wala kuulizwa,kiufupi haguswi
 
Labda nae alipokea shilingi billion10 kama anazotaka kupokea Mbowe ili akiuze chama kwa fisadi lowaasa!

Mtasema sana kwani tushayazoea hayo ni maneno ya wakosaji,cdm tuna miaka zaidi ya 20 ktk siasa za Tanzania hivyo tunajua nini kinendelea kati ya ccm na act
 

Mkuu kama ungeendea 0fisini kwao ingekuwa bora zaidi
 
Vipi nyinyi watumwa wa mwandiga saccoss mbona mmelala mbele?
 


Hiki chama ni genge la wahuni, majizi, matapeli na walaghai. Nasubiri muda ufike nianze kuwaumbua vizuri. Ndio mtajua mimi ni nani. Niko jikoni kabisa kwa kazi maalumu
 
Tumia FLAGILE mkuu inazuia kuharisha

Dozi inakuja, nadhani nyinyi matapeli na walaghai wote tutawaumbua. Sisi katika duru; unafiki kwetu mwiko. Tutasema kweli daima kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa letu. Hatukubali, hatukubali, hatukubali; wahuni & wasaliti, wawarubuni wananchi kwa masilahi binafsi ya kisiasa
 
Mkuu kama ungeendea 0fisini kwao ingekuwa bora zaidi

Sawa mkuu, ila "Fomu" za Zitto zililetwa kwa mbwembwe kweli kweli hapa Jamvini, na tukaahidiwa kuwa ni zoezi endelevu kwa viongozi wote, sembuse kwa chama kama taasisi! Wangalikusudia hilo la kufuatilia taarifa ofisini kwako si wangalisema hivyo tangu mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…