wewe kama nani unauliza mapato na matumizi ya act?? wenye chama watapewa taarfa kwenye mkutano mkuu sasa wewe subir apa jf
Wakuu chama cha ACT kilipomchagua ndugu Zitto kuwa Kiongozi Mkuu wa Chama, tuliletewa hapa Jamvini, Fomu zinazodaiwa kujazwa na kutiwa sahihi na yeye ku-declare mali zake! Tuliambiwa kuwa hiyo ndio sera ya chama na kwamba kila kiongozi atapaswa kufanya hivyo na mambo yatawekwa hadharani! Sina uhakika kama viongozi wengine waandamizi wa chama walishatekeleza hilo au bado wako kwenye mchakato wa kulifanyia kazi! Kwa sasa niombe kama tunaweza kupewa updates juu ya fedha & mali za chama, vyanzo vya chama vya mapato, pamoja na hesabu za mapato na matumizi ya chama kufikia Juni 30, 2015.
Mkuu kuwa mpole, mbona "Fomu za mali" za Zitto,mlituletea hapa Jamvini? Kwani si ninyi wenyewe mliahidi kwamba mtaweka kila kitu wazi? Yamekuwa hayo tena?
wewe kama nani unauliza mapato na matumizi ya act?? wenye chama watapewa taarfa kwenye mkutano mkuu sasa wewe subir apa jf
kudeclare mali siyo shida, atuambie anafanya biashara gani zinazomwezesha kuwa na hizo mali
atutajie anayegharamia mizunguko yake inayofanana na mbio za mwenge nchi nzima , haiwezekani kuzunguka nchi nzima kwa biashara ya migebuka tu .
Ulikuwa ni usanii tu wa ayatullah
atutajie anayegharamia mizunguko yake inayofanana na mbio za mwenge nchi nzima , haiwezekani kuzunguka nchi nzima kwa biashara ya migebuka tu .
Mkuu kuwa mpole, mbona "Fomu za mali" za Zitto,mlituletea hapa Jamvini? Kwani si ninyi wenyewe mliahidi kwamba mtaweka kila kitu wazi? Yamekuwa hayo tena?
Hivi ile kampuni ya lekadutigite aliitaja kuwa ni moja ya Mali zake,na zile fedha zilizolipwa zilikuwa ni kwa kazi gani
Mkuu moja ya masharti ya kiongozi mkuu,ni kutohojiwa wala kuulizwa,kiufupi haguswi
Mkuu utaopokea matusi kibao,kutoka kwa wapambe wa the supreme leader, maana wakali kishenzi