ACP Hemed Msangi...

Ungesikiliza kwanza ndipo ungeleta kitu kizima matokeo yake hueleweki!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu G. Activist Uko sahihi kabisa niliposikia jina la ACP Msangi na kauli ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Liwalo na liwe nikajua yale yale ya Marehemu Dr Ouko na Mzee Moi.

 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli ni utu kumuacha mgonjwa afe ili udai vifaa vya kutibia mgonjwa huyohuyo anayekufa au hiki ni kiiini macho cha kudaia mafao.Haya sasa vitanda vimekua tupu huko hosp basi wakalale wao maana walikua wanavidai
 
Hili nalo neno namshangaa sana wengine tumeunganisha dot tumeshajua nini kinaendelea.

Kwa mwana mapinduzi wa dhati, kila neno ni taarifa. anzia hapo kufanya uchunguzi, na sio kulalamika tu. funguka ki akili, utapata habari kamili.
 
nchi zote zenye ustawi wa demokrasia zilipitia kwenye tanuru la moto na kukomaa.

mungu tunusuru katika tanuru letu tunalopitia ili hatma yake tuweze kuwa wamoja tena.
 
Kwa mwana mapinduzi wa dhati, kila neno ni taarifa. anzia hapo kufanya uchunguzi, na sio kulalamika tu. funguka ki akili, utapata habari kamili.

With time watu wenye welevu huwa wana comunicate kwa codes. Sasa sisi standard yetu ya kusoma na kuandika kiwango cha juu kaabisa tunataka kumfikia yule msomi mtangazaji wa radio yetu ile ya watu kama mimi na wewe ambaye huwa anaongea kama amemeza radio
 
Kama mahojiano yenyewe ndiyo ya mtindo huu basi hakuna haja ya kukusubiri :A S shade:
 
ACP Msangi akiwa mkuu wa USA alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha RPC Ntobi kuhamishiwa mkoa wa Mara.
 
Sikujua mgogoro huu una UDINI pia! No wonder, Ukishasikia CDM na wanaojiita wanaharakati ujue UDINI in the house! Haya endeleeni na harakati zenu za kuchukua nchi!
 
Nawakumba sana marehemu wote mmoja wapo alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo akijulina Babuu mwingine mtoto wa Mzee Masumai mwingine kibosho akiitwa Joseph.Wote kwa pamoja walishikwa maeneo ya PPF wazima wa afya baadaye wazazi walipowafuatilia wakaambiwa wamepelekwa kituo cha polisi USA jioni tukapewa taarifa wameshafariki Arusha ikazizima kamanda Ntobi akakimbia wanahabari muda mfupi akahamishiwa mkoa wa Mara wakati huo ACP Msangi alikuwa askari wa cheo cha chini sana hakuguswa na zoezi la kuhamishwa.

ACP Msangi akiwa mkuu wa USA alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha RPC Ntobi kuhamishiwa mkoa wa Mara.
 
Si akamatwe basi huyo msangi?
 
CCM na serikali yao wameumbukA KWEUPEee. Inshaallah munugu atuepushe ma mabalaa zaidi.:deadhorse:
 

Hapa mh inaashiria kuwa Tz ni zaidi ya tuijuavyo.mh!
 

Huyo Mokira ndiye aliyepewa kipigo cha mbwa pale Muhimbili?
 
Huyo Mokira ndiye aliyepewa kipigo cha mbwa pale Muhimbili?
hivi huyo mokira kwanini hakutangulizwa mbele za haki?? aaarrrggg! tumezidi upole sijui ndio uzalendo??
 
Alafu tunaambiwa nae yupo kwenye kikosi cha kuchunguza walio mtesa Dr. Uli sijui mharifu huwa anajichunguza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…