msangi alikuwa usa river arusha kipindi chake ukisikia ndugu yako kapelekwa kituo cha polisi usa unaanza kuandaa taratibu za mazishi.acp msangi ni aina ya vijana waliopandishwa madaraja haraka haraka kwasababu marehemu baba yake mzee msangi alikuwa rpc katika mikoa mbali mbali kabla hajastaafu akahakikisha kijana wake anawekwa sehemu nzuri.
Sishangai sakata la dr ulimboka kuhusishwa na acp msangi hawa vijana hawako polisi kwaajili ya maslahi ya tanzania bali wako kwaajili ya watawala wako tayari kufanya jambo lolote kwa maslahi ya watawala.
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
..gerald nyalu simulia yalokupata usa river 1997 police post siku ya graduation. Afande unamkumbuka? Take care. Mi leo sitii neno hadi naogopa.
Kina washington walikuwa greatAlikuwepo Hitler
Mussollin
Ghadaf
Mobutu......Wako wapi?
HEMEDI Msangi na Salum Msangi wote ni ndg watoto wa Rpc Msangi mstaafu nafikri ni marehemu kama sikosei ndiye mhusika nimefanya kazi naye wakati huo nimeajiriwa jeshi la polisi kabla ya kuacha.Salum Msangi yeye alifanya kazi muda mrefu pale CCP Moshi.
Hemedi Msangi amekuwa ndiye Zonal RCO- Dar es salaam na kabla ya hapo amefanya kazi Morogoro na Arusha kituo cha USA-Arumeru kitengo cha upelelezi.
Kumbukeni wakti Mererani ndiyo ilikuwa inatema fedha na uhalifu ulikuwa mkubwa na alishiriki kwa hali zote kuua wahalifu sugu au kusingiziwa kesi .polisi kutoa kidhibiti hewa kama bunduki,risasi,na vyote vya hatari ni kitu cha kawaida ili kukamata attention ya wananchi.
Si mnakumbuka IGP MAHITA ALIWAHI KUONYESHA MAJAMBIA NA VISU KUWA NI MALI ZA CHAMA CHA CUF KWA AJILI YA UCHAGUZI 2005.?.POLISI NI HATARI NA KAMA KUTAKUWA NA MAHAKAMA ZA UCHUNGUZI ZA VIFO VYA RAIA MAPOLISI WENGI WATAFUNGWA NA WENGI KUACHA KAZI.
Hivi kweli ni utu kumuacha mgonjwa afe ili udai vifaa vya kutibia mgonjwa huyohuyo anayekufa au hiki ni kiiini macho cha kudaia mafao.Haya sasa vitanda vimekua tupu huko hosp basi wakalale wao maana walikua wanavidai
Mwe mwe....huyo Lundembele kibokoukishakula nyama za watu ACP mSANGI UTAEENDELEA KULA. NI KATABIA AMBAKO HUTAACHA KAMWE. MSANGI NENDA katakaswe vinginevyo damu za kucha na meno za ulimboka zinakulilia pamoja na ulinzi uliowekewa hakika mapatilizo utayapata. unamjua Lwembe wewe au unamsikia? atakushughulikia wewe pamoja na ukoo wako. yaani LUNDUMBELE NI HATARI KULIKO KIKWETE KULIKO RADI ZA SUMBAWANGA, bora ndugu zako wachukue hatua waende wakaitike . maana amaeondoka ushahidi na hiyo ndiyo atakayomfikia lwembe na ndugu zake. LUNDUMBELE LUTAWAKUTA WOTE WALIOSHIKA DAMU ISIYO NA HATIA KWAO. HUO NI USHAURI WA BURE. MATUMBO YENU YANASHIBA DAMU ZA WATU . MUOGOPENI MUNGU MWE WATANZANIA HASA KIKWETE.
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Ulimboka ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu Salim kituo chako cha kazi ni wapi?
Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.
Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya.
WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake.
Kamwe ubaya haufichiki nawe Mokira Muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani?
Aluta continua
Weka uthibitisho
Kama kuna mkalimani tafadhali atupe tafsiri ya hiki kilichoandikwa hapa.
Uthibitisho hata ukiwekwa tutaambiwa spika anaufanyia kazi.Kama wewe ni mtaalam wa ma uthibitisho tuambie ule aliouleta kamanda Lema kuhusu Pinda kusema uongo nani kaambiwa umefikia wapi.Mimi uthibitisho wangu mdogo nilionao ni huu Tuhuma hizi zingekuwa zinamhusu mtu wa kawaida angekamatwa na polisi hata kama si kwa uchunguzi basi hata kwa usalama wake kwani tuhuma hizi ni nzito na anaweza kudhurika.Je Msangi amefanyiwa hivyo? kama hapana ni kwa nini? anatofauti gani na watanzania wengine wanaofanyiwa hivyo? Kwangu hili linanitosha kuamini kwamba alitumwa kufanya kazi hiyo aliyoifanya na aliyemtuma si kwamba ametuma nyani kuchunguza kesi ya ngedere bali kamtuma nyani mwenyewe ajichunguze.
Ubabe wa polisi ni wa kutumia nguvu na silaha maana wamesomea hizo,lakini ubabe wa madaktari ni kutumia dawa maana nao wamesomea hizo,pia ikumbukwe kwamba ni mara chache sana madaktari kwenda polisi na familia zao,ili mara nyingi polisi huenda hospitali na familia zao.Ningependa kuona serikali inashughulikia tatizo hili kwa hekima kuliko ubabe.