Achomwa kisu baada ya kummwagia mwenzake maji machafu kwenye birthday

Huu upuuzi nani aliuanzisha? Watanzania tuna akili za kushikiwa sana.
Haki hata mimi unifanyie huo ujinga sikuachi salama.
 
Huu ujinga unaoitwa birthday ndo sijawahi na situfanya kamwe
 
Si muache tu kufanya masherehe yenu,,,,ngoja mkomeshwe!!!! Mbaaafu,,,,,,puuuuu!!!!
 
Juzi juzi tu kuna dada mmoja jirani yangu ameteleza kwenye ngazi na kujigonga vibaya sehemu za kisogoni wakati akijaribu kuwakimbia marafiki zake waliokua na ndoo ya maukoko na maji machafu wakimkimbiza ili wammwagie. Mdada alichanika sehemu ya nyuma ya kichwa na ilibidi majirani tuingilie kati kumkimbiza hospitali ambapo alishonwa nyuzi kadhaa huku wale waliokua wanamkimbiza wakiishia kutoa tu mimacho kama mataahira bila kumpa msaada wowote.

Waoumbavu sana
 
Back
Top Bottom