Acheni Mara Moja Tabia Hii Wanawake & Wanaume

we ukiviona vyote vinavyotupwa hovyo hovyoo we vikusanye na katupe sehemu husika, huenda wanaofanya wakakuona na kujifunza jamboo
wasipotekeleza andika ujumbe wa tishio kwamba unavipeleka wa mtaalamu wa mambo ili mmmnbsksn;ana;hah
 
Huwezi shika p*di mkuu ni hatari kwa afya na ulimwengu wa roho

Mshana jr
 
nani kakwambia kwamba machupi yao chakavu wanayachoma!!!!!

hawa viumbe ni shida,uchafu wa kike unatia kinyaa sana ila wa kiume una kera tu.
kuna sehemu nilipita ni nyuma ya ukuta wa nyumba flani,wamechagua kutupa taka,hapo kuna kifusi cha kila aina ya uchafu,kuanzia pampas,pedi,mikoba na manguo,yameachwa kama yalivyo.
 
[emoji2]
 
NADHANI NI KUKOSEKANA KWA USTAARABU NA MMOMONYOKO WA MAADILI KWA BAADHI YA WATU

Jamii ya waliostaarabika na waungwana hakuna haya mambo
 
NADHANI NI KUKOSEKANA KWA USTAARABU NA MMOMONYOKO WA MAADILI KWA BAADHI YA WATU

Jamii ya waliostaarabika na waungwana hakuna haya mambo
Swadata kabisa mkuu hawa wanao jiona wameelimika ndo wajinga wa kiwango Cha 5g
 
WATU WANA UTAMADUNI WA KISASA, WASAFI NA WATANASHATI NJE ILA HUKO NDANI SASA!
 
Watoto wa sasa wamejaaa viburizuhuni,ushenzi na tabia mbalimbali chafu wengine mpaka wananyoa viduku shenzi zao yaani unamkuta mwanamke msela aise hii ni aibu sana tena sana hawa wasanii wanatuharibia watoto wetu..........jamiii nayo inawaangalia ti watoto wao bila kuwakanya..........yaani kwa saaa mtoto wa miaka 5 anaangalia picha za ngono na matusi tele kinywani.
 
Mkuu Kuna changamoto kubwa Sana kwenye malezi ya watoto na hii ni kutokana na hali ngumu ya maisha Baba na Mama wote wapo katika shughuli za kutafuta kipato.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusikia dada mmoja kwenye pharmacy akiulizia pedi ambazo zinafuliwa, cha ajabu baadhi ya wanawake waliokuwepo pale dukani, alivyoondoka (aliambiwa hakuna) wakawa wanamuona eti ni mshamba.. Daaah
 
Hao ndo wale hujiona smart kumbe kichwa zero wanawaona wanao tumia pedi hizo kuwa masikini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…