jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,697
- 41,862
Walengwa watakua wamekusikia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huwezi shika p*di mkuu ni hatari kwa afya na ulimwengu wa rohowe ukiviona vyote vinavyotupwa hovyo hovyoo we vikusanye na katupe sehemu husika, huenda wanaofanya wakakuona na kujifunza jamboo
wasipotekeleza andika ujumbe wa tishio kwamba unavipeleka wa mtaalamu wa mambo ili mmmnbsksn;ana;hah
Mkuu sijui shida iko wapi,Kuna muda unawaza watu wa karne ya mudy wakifufuka kwa mfano watashangaa watu kuwa wajinga kiasi hikiWanakera mnoo mkuu malezi ni tatizo
Nchi hii acha tu Kiongozi haiishi matukiomkuu umenifanya nicheke vibaya Sana
Imenikumbusha miaka kadhaa Ubungo Bus Terminal, kuna chupa za mikojo zilikuwa zinatupwa hovyohovyo usiku, siku moja alfajiri bus likakanyaga chupa yenye mikojo ikapasuka na kurushia abiria mikojo, kwa kile kishindo nahisi wengine walimwagikiwa midomoni maana ilikuwa giza kila mmoja alikimbilia anakojua yeye, ikawa kila bus linapogeuza abiria wanakimbia kama vile wanakimbia kukamatwa na polisi

NADHANI NI KUKOSEKANA KWA USTAARABU NA MMOMONYOKO WA MAADILI KWA BAADHI YA WATUWanawake
Sifa kuu ya mwanamke ni usafi ndio maana kuna ule msemo maarufu wa "mwanamke usafi" na ni ukweli ulio wazi mwanamke msafi hupendwa na kila mtu lakini kwanini uonekane msafi wa mwili tu lakini vitu vinavyo kustili kuwa katika usafi hauvithamini baada ya kuvitumia ?
Hivi mwanamke unaye jiona msomi,mrembo,smart nk,una anza vipi kutupa "taulo ya kike(pedi)" kwenye mazingira ya wazi ya umma baada ya kuitumia? Hivi hujihisi aibu kuweka sehemu ya utu wako wa ndani naya Siri public?
Limekuwa jambo la kawaida kuona pedi zimetupwa hovyo mitaani jambo hili linatia kinyaa na aibu sio siri,hivi ina maana huwezi choma pedi baada ya kutumia? Mbona ch*pi zenu zilizo isha hatuzioni mitaa Kama pedi zenu?
Mama zetu wa zamani licha ya mazingira magumu ya wakati huo walijitahidi Sana kulinda heshima zao mbele ya jamii hasa kulinda maungo yao ya ndani,walikuwa wanatumia vitambaa kujistili lakini ulikuwa huwezi kuta kitaa hicho kimetupwa mitaani hovyo Kama mnavyo fanya nyie mnajiona mlio elimika kuliko wao ila ni ukweli ulio wazi kwamba walikuwa smart kuliko nyie wa digitali.
Ewe Mama uliye ndani humu muelimishe binti yako aliye vunja ungo asitupe pedi hovyo baada ya kutumia badala yake achome moto Kama mnavyo choma ch*pi zenu zikichoka."TABIA YA KUTUPA PEDI HOVYO IKOMEE KABISA"
Mwanaume
Hivi mwanaume uliye kamilika na unaye jiamini na wengine mkiwa baba wa familia una anza vipi kukujoa kwenye kopo ? na kutupa kopo hilo nje uku likiwa limejaa mkojo wako?
Na kwa utafiti wangu usio rasmi Sana tabia hii ya kukojoa kwenye makopo inafanywa Sana na watu wenye magari maana makopo mengi yenye mikojo utayakuta pembezoni mwa barabara,jambo hili linatia kinyaa na fedhea kwa wanaume wote kuonekana wasio jitambua kwa tabia za wachache.
Kumbuka Kuna watu wanakusanya hayo makopo Kama sehemu ya ajira yao ili kujipatia ridhiki ya siku,na Kuna wengine wanatumia makopo hayo hayo kuuzia maziwa ya mtindi pembezoni mwa barabara.Hivyo unaweza kuta kopo ambalo uliweka mkojo wako wa pombe ndo hilo hilo unakuja kulinunua likiwa na maziwa ndani.TABIA HII IKOME
Hizi zinazo onekana kitaa zinatoka wapi Kama mnachoma?Tunachoma mbona
Swadata kabisa mkuu hawa wanao jiona wameelimika ndo wajinga wa kiwango Cha 5gNADHANI NI KUKOSEKANA KWA USTAARABU NA MMOMONYOKO WA MAADILI KWA BAADHI YA WATU
Jamii ya waliostaarabika na waungwana hakuna haya mambo
kweli watu wa hovyo sanaSwadata kabisa mkuu hawa wanao jiona wameelimika ndo wajinga wa kiwango Cha 5g
Mazingaombwe ni mengi mkuuHizi zinazo onekana kitaa zinatoka wapi Kama mnachoma?
Wachafu wa kutupwa mkuuWATU WANA UTAMADUNI WA KISASA, WASAFI NA WATANASHATI NJE ILA HUKO NDANI SASA!
Watoto wa sasa wamejaaa viburizuhuni,ushenzi na tabia mbalimbali chafu wengine mpaka wananyoa viduku shenzi zao yaani unamkuta mwanamke msela aise hii ni aibu sana tena sana hawa wasanii wanatuharibia watoto wetu..........jamiii nayo inawaangalia ti watoto wao bila kuwakanya..........yaani kwa saaa mtoto wa miaka 5 anaangalia picha za ngono na matusi tele kinywani.Wanawake
Sifa kuu ya mwanamke ni usafi ndio maana kuna ule msemo maarufu wa "mwanamke usafi" na ni ukweli ulio wazi mwanamke msafi hupendwa na kila mtu lakini kwanini uonekane msafi wa mwili tu lakini vitu vinavyo kustili kuwa katika usafi hauvithamini baada ya kuvitumia ?
Hivi mwanamke unaye jiona msomi,mrembo,smart nk,una anza vipi kutupa "taulo ya kike(pedi)" kwenye mazingira ya wazi ya umma baada ya kuitumia? Hivi hujihisi aibu kuweka sehemu ya utu wako wa ndani naya Siri public?
Limekuwa jambo la kawaida kuona pedi zimetupwa hovyo mitaani jambo hili linatia kinyaa na aibu sio siri,hivi ina maana huwezi choma pedi baada ya kutumia? Mbona ch*pi zenu zilizo isha hatuzioni mitaa Kama pedi zenu?
Mama zetu wa zamani licha ya mazingira magumu ya wakati huo walijitahidi Sana kulinda heshima zao mbele ya jamii hasa kulinda maungo yao ya ndani,walikuwa wanatumia vitambaa kujistili lakini ulikuwa huwezi kuta kitaa hicho kimetupwa mitaani hovyo Kama mnavyo fanya nyie mnajiona mlio elimika kuliko wao ila ni ukweli ulio wazi kwamba walikuwa smart kuliko nyie wa digitali.
Ewe Mama uliye ndani humu muelimishe binti yako aliye vunja ungo asitupe pedi hovyo baada ya kutumia badala yake achome moto Kama mnavyo choma ch*pi zenu zikichoka."TABIA YA KUTUPA PEDI HOVYO IKOMEE KABISA"
Mwanaume
Hivi mwanaume uliye kamilika na unaye jiamini na wengine mkiwa baba wa familia una anza vipi kukujoa kwenye kopo ? na kutupa kopo hilo nje uku likiwa limejaa mkojo wako?
Na kwa utafiti wangu usio rasmi Sana tabia hii ya kukojoa kwenye makopo inafanywa Sana na watu wenye magari maana makopo mengi yenye mikojo utayakuta pembezoni mwa barabara,jambo hili linatia kinyaa na fedhea kwa wanaume wote kuonekana wasio jitambua kwa tabia za wachache.
Kumbuka Kuna watu wanakusanya hayo makopo Kama sehemu ya ajira yao ili kujipatia ridhiki ya siku,na Kuna wengine wanatumia makopo hayo hayo kuuzia maziwa ya mtindi pembezoni mwa barabara.Hivyo unaweza kuta kopo ambalo uliweka mkojo wako wa pombe ndo hilo hilo unakuja kulinunua likiwa na maziwa ndani.TABIA HII IKOME
Mkuu Kuna changamoto kubwa Sana kwenye malezi ya watoto na hii ni kutokana na hali ngumu ya maisha Baba na Mama wote wapo katika shughuli za kutafuta kipato.Watoto wa sasa wamejaaa viburizuhuni,ushenzi na tabia mbalimbali chafu wengine mpaka wananyoa viduku shenzi zao yaani unamkuta mwanamke msela aise hii ni aibu sana tena sana hawa wasanii wanatuharibia watoto wetu..........jamiii nayo inawaangalia ti watoto wao bila kuwakanya..........yaani kwa saaa mtoto wa miaka 5 anaangalia picha za ngono na matusi tele kinywani.
Niliwahi kusikia dada mmoja kwenye pharmacy akiulizia pedi ambazo zinafuliwa, cha ajabu baadhi ya wanawake waliokuwepo pale dukani, alivyoondoka (aliambiwa hakuna) wakawa wanamuona eti ni mshamba.. DaaahTumeshaliongea sana hili hapa JamiiForums na Binafsi nilishaanzisha 'Threads' Mbili za Kulikemea hili ambalo huwa linanipa mno Kinyaa na sijui kwanini huwa nina bahati mbaya ya Kukutana nalo hasa Mitaa ya Uswahilini ambayo nimebobea nayo 24/7.
Asante na Kongole nawe pia kwa Kulisemea hili kwa mara nyingine huenda likapata Msukumo zaidi na Wahusika ( Wanawake ) kubadilika kwani kwa 100% linawadhalilisha na Kudhoofisha zaidi Utu wao kama Jeshi muhimu Ulimwenguni.
Hao ndo wale hujiona smart kumbe kichwa zero wanawaona wanao tumia pedi hizo kuwa masikini.Niliwahi kusikia dada mmoja kwenye pharmacy akiulizia pedi ambazo zinafuliwa, cha ajabu baadhi ya wanawake waliokuwepo pale dukani, alivyoondoka (aliambiwa hakuna) wakawa wanamuona eti ni mshamba.. Daaah