Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,505
- 13,776
Wanawake
Sifa kuu ya mwanamke ni usafi ndio maana kuna ule msemo maarufu wa "mwanamke usafi" na ni ukweli ulio wazi mwanamke msafi hupendwa na kila mtu lakini kwanini uonekane msafi wa mwili tu lakini vitu vinavyo kustili kuwa katika usafi hauvithamini baada ya kuvitumia?
Hivi mwanamke unaye jiona msomi, mrembo, smart nk, una anza vipi kutupa "taulo ya kike(pedi)" kwenye mazingira ya wazi ya umma baada ya kuitumia? Hivi hujihisi aibu kuweka sehemu ya utu wako wa ndani naya Siri public?
Limekuwa jambo la kawaida kuona pedi zimetupwa hovyo mitaani jambo hili linatia kinyaa na aibu sio siri,hivi ina maana huwezi choma pedi baada ya kutumia? Mbona ch*pi zenu zilizo isha hatuzioni mitaa Kama pedi zenu?
Mama zetu wa zamani licha ya mazingira magumu ya wakati huo walijitahidi sana kulinda heshima zao mbele ya jamii hasa kulinda maungo yao ya ndani,walikuwa wanatumia vitambaa kujistili lakini ulikuwa huwezi kuta kitaa hicho kimetupwa mitaani hovyo Kama mnavyo fanya nyie mnajiona mlio elimika kuliko wao ila ni ukweli ulio wazi kwamba walikuwa smart kuliko nyie wa digitali.
Ewe Mama uliye ndani humu muelimishe binti yako aliye vunja ungo asitupe pedi hovyo baada ya kutumia badala yake achome moto Kama mnavyo choma ch*pi zenu zikichoka."TABIA YA KUTUPA PEDI HOVYO IKOMEE KABISA."
Mwanaume
Hivi mwanaume uliye kamilika na unaye jiamini na wengine mkiwa baba wa familia una anza vipi kukujoa kwenye kopo na kutupa kopo hilo nje huku likiwa limejaa mkojo wako?
Na kwa utafiti wangu usio rasmi dana tabia hii ya kukojoa kwenye makopo inafanywa sana na watu wenye magari maana makopo mengi yenye mikojo utayakuta pembezoni mwa barabara, jambo hili linatia kinyaa na fedhea kwa wanaume wote kuonekana wasio jitambua kwa tabia za wachache.
Kumbuka Kuna watu wanakusanya hayo makopo Kama sehemu ya ajira yao ili kujipatia ridhiki ya siku,na Kuna wengine wanatumia makopo hayo hayo kuuzia maziwa ya mtindi pembezoni mwa barabara.Hivyo unaweza kuta kopo ambalo uliweka mkojo wako wa pombe ndo hilo hilo unakuja kulinunua likiwa na maziwa ndani. TABIA HII IKOME