Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,987
nina picha hiyo tu mkuu.lakini mbona picha inaonesha kabisa ni yeye,yupo kinshasa hadi sasaIli nipate uhakik ongeza picha
sijajua ilikuwaje ndio nafuatilia nini kilimkuta.lakini nina uhakika alikuwa na akiba ila kujua ilipoenda ndio tabuHakuweka akiba? Hakusomesha watoto? (Kama anao)
Inawezekana pia alipitiwa na fagio la mabadiliko ya waliochukua nchi,kufilisiwa sometimes kuwekwa jela etc.unajua Mobutu wengi walikuwa na hasira nae sana so isingewezekana mtu ajulikane kwamba alikuwa mtu wake wa karibu halafu asiguswe na wapinzani wa boss wake.sijajua ilikuwaje ndio nafuatilia nini kilimkuta.lakini nina uhakika alikuwa na akiba ila kujua ilipoenda ndio tabu
lakini pia majumba ya watu wa karibu wa mobutu yalitaifishwa mwaka 1997
Inawezekana pia alipitiwa na fagio la mabadiliko ya waliochukua nchi,kufilisiwa sometimes kuwekwa jela etc.unajua Mobutu wengi walikuwa na hasira nae sana so isingewezekana mtu ajulikane kwamba alikuwa mtu wake wa karibu halafu asiguswe na wapinzani wa boss wake.
Hatakuwa hana akili,Wakongoman,Wasouth Sudan wakishindwa kuchimbia mali ulaya hata Nairobi inatosha unakula na kipofu fainali uzeeni.
Huyo mzee Hana bahati
Kweli hili ni tatizo mtu kutoka kuvaa suti mpaka kuvaa mikaptura mitefu kama lemutuz
Tupe feedbackkubwa sana.alafu ukiangalia mkononi alikuwa anavaa saa ya dhahabu enzi zake
Dada yangu, hili la kusomesha watoto litoe. Siku hizi watoto wetu si sawa na sie tuliosoma ili kukomboa familia. Unless ni wasichana huwa hawamtupi baba yao ila wavulana Mh!!!!Hakuweka akiba? Hakusomesha watoto? (Kama anao)
Wakishaoa basi wanasahau kuwa wana wazaziDada yangu, hili la kusomesha watoto litoe. Siku hizi watoto wetu si sawa na sie tuliosoma ili kukomboa familia. Unless ni wasichana huwa hawamtupi baba yao ila wavulana Mh!!!!
Hata kabla, ila wanakumbuka mama zao tu. Siye wengine tuliwajengea wazazi wetu hadi maghorofa lakini kizazi hiki inatakiwa ujiwekee akiba ili usinyanyasikieWakishaoa basi wanasahau kuwa wana wazazi
hongera sana kwa kukumbuka wazaziHata kabla, ila wanakumbuka mama zao tu. Siye wengine tuliwajengea wazazi wetu hadi maghorofa lakini kizazi hiki inatakiwa ujiwekee akiba ili usinyanyasikie
Ni majukumu yetu mkuu. Ila kwa sasa usipokuwa makini unakuwa sawa na huyo jamaa baada ya 80, hawa wetu siyo wa kuwategemea. Mambo yamegeuka sasa ambapo wazazi wetu waliacha kuwaendeleza wasichana (si kwa vile walikuwa hawawapendi ila resouces zilikuwa ni chache kiasi huwezi kuzitawanya kwa wote) waka invest kwa wavulana na kweli tukaleta returns hata kwa kusaidia watoto wa dada zetu ili wawasaidie mama zao ambao kutokana na umaskini hawakuendelezwa. Kizazi cha sasa kinafanya wazazi wasione umuhimu wa kuwa na watoto - Mojawapo ya sababu ya kuwa na watoto wengi zamani hapa Afrika ni social security; wazazi wali invest katika watoto. Ndo maana unaona nchi kama Kenya au west africa kila mtu anahakikisha mtoto wake angalau mmoja aende ulaya ili akomboe familia.hongera sana kwa kukumbuka wazazi