Acheni kununua TV online jamani,nenda dukani kafate TV yako kama huwezi bora ukabeti hela yako kuliko kununua Tv kama hii

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
4,047
2,000
Duuh, hivi kuna chuo cha kusomea haya mambo?
Maana kila siku mbinu ni mpya na za kisasa zaidi.
SHULE pekee ni umaskini cute, Ukipigika halafu majukumu yanaongezeka Akili kama hii lazima uipate
 
City owl

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,921
2,000
Kibongobongo, hakikisha unalipa cash on delivery. Mzigo unafika nyumbani...unaukagua kama ndiyo model ile uliyoagiza, uko salama n.k...
Pia, fanya order toka store ya kueleweka. Mostly authorized dealers.
Mwisho, cheap is expensive..
 
watu hawataki kuhangaika,wanalipa kabisa Wenzio hawataki usumbufu kwenye kulipa
 
City owl

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,921
2,000
watu hawataki kuhangaika,wanalipa kabisa Wenzio hawataki usumbufu kwenye kulipa
Ndo madhara sasa. Sijui mtu anakosaje muda wa kusurvey japo kidogo tu kuhusu bidhaa anayotaka kununua kwa pesa zake halali.
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
4,047
2,000
Ndo madhara sasa. Sijui mtu anakosaje muda wa kusurvey japo kidogo tu kuhusu bidhaa anayotaka kununua kwa pesa zake halali.
sisi wabongo kuna maisha tunayatamani sana,sasa mtu akiwa na hela flani mfukoni basi n lazima atajaribu yaishi yale maisha
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
870
1,000
Asante kwa tahadhari. Lakini ndugu yangu hapa hujawasaidia sana watanzania. Tatizo letu kubwa ni kukosa umakini katika kufikiri na kufanya maamuzi(yani hatupo critical). Unashauri twende dukani, ni sawa, hapa tutapunguza ukubwa tu wa tatizo, lakini madukani pia tunapigwa sana haya makorokocho. Kwanini hali ipo hivi?

1.Wengi si wadadisi, hajiulizi nataka ninunue nini wapi.Ukitaka nunua kitu iwe dukani ama online, jiulize muuzaji ni nani na ujiridhishe kwa kufanya tafiti.Sasa hata hivi ninavyoongea, ninaweza kutafuta mkopo wangu wa redio nikaufungasha vema nikapita nao mtaani sikosi hela ya kula. Lazima upate watu type hii wasio wadadisi. Mbaya zaidi hapo ukute kashakwepa kodi, hana risiti sahihi na hata kushitaki hawezi maana na yeye ni mhalifu.

2.Hachanganui bidhaa niitakayo ina thamani gani hasa ukilinganisha na ubora wake. Je, ninaweza kutoa lakini nane nikapata tv flat MPYA ya nchi 49? ya kampuni gani? Hapa wengi tunalizwa sana kwakuwa tunadhani inawezekana kumiliki kitu cha thamani na ubora mkubwa kwa bei cheee. Utashangaa mtu ana smartphone lakini hana hata wazo la kupitia na kujua hali za bidhaa anazotaka zipoje kimataifa, walau kumfungua ubongo asidanganywe.

Mimi ninakubali hatari ya kupigwa mtandaoni, lakini kwa kiasi kikubwa huchangiwa na ujinga wetu.

Asante sana kwa kuibua mada hii nyeti katika kipindi hiki ambacho kila mtu anaitafuta shilingi hata kwa kumpiga kabali jini mradi hela ipatikane.
 
WATANZANIA tunapenda slope
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom