Acheni kumbeza Mzee wa Msoga

Sasa ulitaka Marais wa Chama kimoja ambao muda wao umekwisha wasipeane kijiti kwa Amani ? (Wakati aliyetoka ana mchango kwa anayeingia ?

Mkuu naona hapa ni kama kumsifia ngombe kula majani.... All in All Tanzania ni nchi ya Kuigwa kwa wananchi wake kuwa peace (sio viongozi namaanisha wananchi) pia kuwa na undugu bila Ukabila jambo ambalo naona watu wanataka kuharibu kazi kubwa iliyofanyika kuhusu hilo..., Hayo mengine ya hivi Vyama / Chama ni kama Kansa tu kwenye mwili, they are far from Perfect....
 
Na je, hata alipokuwa waziri wa ujenzi, mbona hakumtumbua, na wakati alikuwa na uwezo?
Wakati Magufuli anauza nyumba za serikali kwa amri ya Mkapa Kikwete naye ameuziwa ile nyumba ya pale Victoria.

Ccm ni waarabu wa pemba, partners in crime.
 
Ndio maana Mungu wa kweli amemuondowa haraka Magufuli aliyekuwa anachochea chuki na kuleta ubanguzi miongoni mwa Watanzania.

Hakika huyu jamaa alikuwa ni mkosi kwa Taifa.
 
Wakati Magufuli anauza nyumba za serikali kwa amri ya Mkapa Kikwete naye ameuziwa ile nyumba ya pale Victoria.

Ccm ni waarabu wa pemba, partners in crime.
Oooh! Ila tuache kumsema vibaya mzee JK sasa.
 
tayari mmeshaanza kumtaja mungu kwe haya mambo yenu ya kisiasa, ndio maana ht wanasiasa cku hizi wanadai nao wametumwa na mungu loh, achen kumsingzia mungu
 
Wagombea wa Kikwete Membe na Migiro hakuna aliyefika tatu bora.

Tatu bora waliingia January Makamba, Amina Ally na Magufuli.

Kura halali Amina Ally kutoka Zanzibar ndio alishinda.

Hili la Samia kuwa Rais ni haki ya Wazanzibar na wanawake waliyoporwa na wahafidhina tangu mwaka 2015,

Wengi mnaweza kushangazwa huyu mwanamke alishindaje ni kundi la Lowasa ndio lilikuwa na kura za maamuzi na ndio maana walianza kumshughulikia Membe mapema.

Ccm kupinduwa matokeo ni mabingwa, kama mna akili timamu jiulizeni yule mama mpaka leo yuko wapi? Je kwanini yeye hakuteuliwa kuwa mgombea mwenza?
 
Mkuu wafu hawana sehemu katika waishio, Mwache apumzike Mzee wa Watu au bado una bifu naye? Mfuate.
 
Ngoja wajuzi waje.
Hii yote ni hasira kutoka kwenye uzi wa historia yake.
 
Hujui kabisa! Tena hujui kabisa! Tano Bora walikua!
1. Magufuli
2. Migiro
3. Balozi Amina Ally
4. Membe
5. January!

Tatu Bora walikua
1. Magufuli
2. Migiro
3. Balozi Amina Ally
Naona unademka tu, wapi nimeandika kuhusu tano bora?

Ukweli unabaki mshindi alikuwa Amina Ally, Wazanzibar waliporwa haki yao na Mungu ameirudisha kwa style nyingine kupitia kwa Samia.
 
Kwani kumbeza kwa lipi? Sidhani kama kuna Rais aliyetokea kupendwa kama JK.
 
Mkuu wafu hawana sehemu katika waishio, Mwache apumzike Mzee wa Watu au bado una bifu naye? Mfuate.
Soma uelewe, napinga JPM kuhusishwa kumtusi JK kimafumbo, wote ni bora na sina tatizo na yeyote kati yao.
 
Sasa kumuambia anasafiri sana ni vibaya? Hiyo haitoshi kusema amemtusi. Si tusi na haikuwa kwa chuki bali kwa nia njema.
 
Katuharibia na anaruharibia mambo mengi sana.kwa ufupi ni kichaka cha mabepari.Hana uchungu na maskini ila huyo jamaa mjanja balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…