GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,646 Reaction score 10,859 Jul 9, 2024 Thread starter #61 Mu7 said: Uko sahihi ndugu. Waache dharau. Wa Infinix kainunia kulingana na kipato chake. Huyo mwenye kipato kikubwa amekipata kwa rehma za Mungu sawa na sisi wenye kidogo. Mtoaji ni mmoja na akiamua kumnyang'anya mtu hashindwi!! Click to expand... Kuna Infinix ghali kuzidi baadhi ya Samsung! Kumiliki Infinix si ishara ya unyonge, ni uchaguzi wa "mlaji"
Mu7 said: Uko sahihi ndugu. Waache dharau. Wa Infinix kainunia kulingana na kipato chake. Huyo mwenye kipato kikubwa amekipata kwa rehma za Mungu sawa na sisi wenye kidogo. Mtoaji ni mmoja na akiamua kumnyang'anya mtu hashindwi!! Click to expand... Kuna Infinix ghali kuzidi baadhi ya Samsung! Kumiliki Infinix si ishara ya unyonge, ni uchaguzi wa "mlaji"
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 4,314 Reaction score 9,305 Jul 9, 2024 #62 Masikini akipata matako huliwa mbwata.....