Simu zina madaraja yake na ndio maana katika soka Mbappe anacheza Ulaya na Mzize anacheza Bongo...tukinunua TECNO tutakuwa na roho mbaya,hizo simu ni za waimba kwaya,umoja wa vikoba wa akina mama,waha na wamasai.
Kwanza ninunue TECNO nikipigwa na radi je