Acheni hizo

Acheni hizo

Unatoa msaada kwa manzi kiroho safi tu, mwisho wa wasiku anakuchukulia kama danga.
Acheni hizo mambo nyie wasichana.. Wanaume wastaarabu bado tupo.

N:B
Baadhi, sio wote.
Umejiandaaje na mwaka mpya mkuu?
 
Mkuu nisaidie mimi amini nakuambia sitokuchukulia kama danga
 
Kweli kabisa ukimsaidia mwanamke anahis unafukuzia kikojoleo chake
 
Unatoa msaada kwa manzi kiroho safi tu, mwisho wa wasiku anakuchukulia kama danga.
Acheni hizo mambo nyie wasichana.. Wanaume wastaarabu bado tupo.

N:B
Baadhi, sio wote.
Yaaani imekujae mkuu umemsaidia afu ye kakudanga...
 
Back
Top Bottom