SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,145
- 9,712
Sio wanaume tu hadi watu wanaomzunguka hadi akakufikiaEbwana eeh unalipia Lodge nzuri 30,000 unaagiza buffee la kiwango ili akija Manzi uliyemuona Classic muEnjoy week end. Manzi anafika Room kavaa jeans kali ya 30,000, kiatu 40,000 na Jezi kali juu ya Yanga OG alafu ile unampokea unamHug tu unakutana na Harufu kali mdomoni mwake, Daaah! Wanaume tunapitia magumu sana tuheshimiwe.
InaonyeshaKuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,.
Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa unaongea hadi kerooo.
Jingine mtu haogi vizuri
Ananuka makwapa sana unakaa naye unamvumilia , hadi unamchana ananuka makwapa hadi unaweza umwa na kichwa . Yaani haina harufu maalumu .
Wengine wanaume kwa wanawake hawafui nguo zao za ndani vizuri au kabisa ukikaa nao akijiachia kuna kaarufu kanatoka hakaeleweki nako kanaboa .
Mtu anajitahidi kufika kazini fresh ngoja aende choo mara moja au mbili kwa badhii ya wanawake wanaharufu mbaya sana .
Jamani acheni hizi tabia kuweni wasafi mnahatarisha afya zetu na afya za nyie watu ambao hampo wasafi wa mwili.
OGeni
Pigeni mswaki
Fueni nguo zenu za ndani na muwe na nguo zandani zakubadilisha
inaonyesha ikulu yako ni safi sana, inafaa kupigwa dekiKuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,.
Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa unaongea hadi kerooo.
Jingine mtu haogi vizuri
Ananuka makwapa sana unakaa naye unamvumilia , hadi unamchana ananuka makwapa hadi unaweza umwa na kichwa . Yaani haina harufu maalumu .
Wengine wanaume kwa wanawake hawafui nguo zao za ndani vizuri au kabisa ukikaa nao akijiachia kuna kaarufu kanatoka hakaeleweki nako kanaboa .
Mtu anajitahidi kufika kazini fresh ngoja aende choo mara moja au mbili kwa badhii ya wanawake wanaharufu mbaya sana .
Jamani acheni hizi tabia kuweni wasafi mnahatarisha afya zetu na afya za nyie watu ambao hampo wasafi wa mwili.
OGeni
Pigeni mswaki
Fueni nguo zenu za ndani na muwe na nguo zandani zakubadilisha
AkuuuInaonyesha
inaonyesha ikulu yako ni safi sana, inafaa kupigwa deki
Mimi nasitisha kila kitu, maana sidhani kama kuna binadamu mwenye kinyaa kuliko mimiEbwana eeh unalipia Lodge nzuri 30,000 unaagiza buffee la kiwango ili akija Manzi uliyemuona Classic muEnjoy week end. Manzi anafika Room kavaa jeans kali ya 30,000, kiatu 40,000 na Jezi kali juu ya Yanga OG alafu ile unampokea unamHug tu unakutana na Harufu kali mdomoni mwake, Daaah! Wanaume tunapitia magumu sana tuheshimiwe.
May 30 Mlimani city pale kuna mwanangu alikuja na pisi ya maana ina shepu la haja nikamuuliza oya manzi yako akasema hapana ila natoka na mwenzie. Nikaonba assist akaniweke V pass tamu nikachukua namba kwa mtoto sasa imefika time ya kuagana si ndo tukasogelea Mamamaaaaaaaae mpaka leo sijamtafuta tena yule manzi kinywa yake noma sana.ππEbwana eeh unalipia Lodge nzuri 30,000 unaagiza buffee la kiwango ili akija Manzi uliyemuona Classic muEnjoy week end. Manzi anafika Room kavaa jeans kali ya 30,000, kiatu 40,000 na Jezi kali juu ya Yanga OG alafu ile unampokea unamHug tu unakutana na Harufu kali mdomoni mwake, Daaah! Wanaume tunapitia magumu sana tuheshimiwe.
Mama, punguza speed. Kuna vijana wenye tabia ya kufuatilia maisha yetu kama akina holoholo na wenzake wanaweza kufikiri ukiwa nyumbani huwa unaongea kama uwapo humu jukwaani! Kumbe mambo huwa ni tofauti kabisa.Kuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,.
Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa unaongea hadi kerooo.
Jingine mtu haogi vizuri
Ananuka makwapa sana unakaa naye unamvumilia , hadi unamchana ananuka makwapa hadi unaweza umwa na kichwa . Yaani haina harufu maalumu .
Wengine wanaume kwa wanawake hawafui nguo zao za ndani vizuri au kabisa ukikaa nao akijiachia kuna kaarufu kanatoka hakaeleweki nako kanaboa .
Mtu anajitahidi kufika kazini fresh ngoja aende choo mara moja au mbili kwa badhii ya wanawake wanaharufu mbaya sana .
Jamani acheni hizi tabia kuweni wasafi mnahatarisha afya zetu na afya za nyie watu ambao hampo wasafi wa mwili.
OGeni
Pigeni mswaki
Fueni nguo zenu za ndani na muwe na nguo zandani zakubadilisha
SAwa ila kuweni wasafiKila Mtu ni Malaika anaposema ya wenzie.
Unajikosha mtandaoni Bro.SAwa ila kuweni wasafi