Kuna agent wa chuo cha Acharya Institute of Management studies cha Bangalore India ambaye yupo Dare es salaam na hatozi pesa yoyote. Unaweza kuwasiliana nae katika saa za kazi , Mrs Morris simu namba 0786348885 . Pia anaweza kukupatia fee structure na application form.