Hawa wajiita manabii wamejazana mijini kuuza nabii zaoKwamba wanaoishi Dar wawe wanasafiri kwenda kuabudu vijijini Kisha wanarejea Tena!
Biblia kitabu cha Warumi 11:36 inasemaHuyo Mungu yupo so insecure hadi anatafuta watu wa kumuabudu?
Huyo Mungu akiabudiwa anafaidika nini?
Huyo Mungu asipoabudiwa anapungukiwa nini?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuta unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu
Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu
Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye makanisa ambako wwaabudu tu Mungu na kuondoka zako
Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hai Wanataka watu tu wasali waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia.mara naona Samia, mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga
Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani
Tafuta ambalo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii
Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote

Mungu uliwasiliananae kwa njia gani?
Mungu uliwasiliananae kwa njia gani?
Huyo Mungu ni wewe tu ndie huwa unaongea naye?.Kwenye watanzania milioni 60?
Manyumbu tunaelewa basi baba, sisi makanisa ya manabii tunayapenda kawa kuwa huko ndiyo tunakofundishwa udaku, kupiga kelele na kunena kwa lugha ya mbinguni: apapapa rabo sitaki rabonifeMungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuata unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu
Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu
Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye makanisa ambako wwaabudu tu Mungu na kuondoka zako
Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hai Wanataka watu tu wasali waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia.mara naona Samia, mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga
Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani
Tafuta ambalo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii
Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote
Huyo Mungu ni wewe tu ndie huwa unaongea naye?.Kwenye watanzania milioni 60?
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wote wamwabudu yeye tu, pasipo kutafuta unabii?Biblia kitabu cha Warumi 11:36 inasema
"Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake na vipo kwa ajili yake na vyote vinadumu kwake. Utukufu ni wake milele. Amina."
Binadamu uliumbwa si kwa ajili yako ni kwa ajili yake yeye
Hivyo kumuabudu ni haki yake yeye aliyekuleta duniani
Katiba inatoa ruksa kupiga kura au kutokupiga ni hiari ya mtu.Pua inaruhusu Chama cha siasa kuwa na uhuru kushiriki uchaguzi au kutokushiriki
Unathibitisha vipi kanisa lako ni la kweli?Hawa wajiita manabii wamejazana mijini kuuza nabii zao
Makanisa yako mengi tu ambayo hujikita kwenye kuabudu tu kama Yesu alivyoagiza.kuwa .Wanatakiwa watu wa kuabudu Mungu kanisani si vinginevyo .Manabii wameharibu kanisa na kulifanya kuwa materialistic kuwa mtu anaenda kanisani kufuata vitu materials vya kidunia vya kimwili
Na manabii hawa wamejaa macho ya kuona vya dunia zaidi ni manabii wa dunia sio Mungu
roho waliyonayo sio ya Mungu ni ya dunia na mambo yake ya dunia zikiwemo siasa,maki,majumba ya fahari nk hawazalishi waabuduo katika roho na kweli
Quality ya kiroho na tabia za viongozi wenyewe hao manabii na waumini wao iko chini mno.Haviko kabisa kwenye standard za kanisa aliloamuru Kristo.Kuabudu hakupo wamejaa roho mtaka vitu sio Roho Mtakatifu
Katiba inatoa ruksa kupiga kura au kutokupiga ni hiari ya mtu.Pua inaruhusu Chama cha siasa kuwa na uhuru kushiriki uchaguzi au kutokushiriki
Mimi nitaenda kupiga kura na chama changu kitashiriki uchaguzi
Nyie ambao chama chenu hakitashiriki uchaguzi ni haki yenu kutoshiriki na sisi wengine tulio.tayari kushiriki ni haki yetu
Pia
Mungu hakuumba Robit aliumba watu na kuwapa utashi na akili za kuamua jema na baya Ndio maana huwezi jisaidia haja kubwa sebuleni akiki ibakutuma.uende chooni na pia uhuru wa kusema uabudu au la ni wakoHuyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wote wamwabudu yeye tu, pasipo kutafuta unabii?
Huyo Mungu Alishindwaje kuzuia uwepo wa manabii feki duniani?
Kanisa sio jina ni mfumo .wa ibada he umejikita kwenye kuabudu Mungu? Majina ya makanisa yako mabilioni.Cha kuangalia si jina tuUnathibitisha vipi kanisa lako ni la kweli?
Au unataka kutetea kanisa lako tu na kuponda makanisa ya manabii?
Sasa kama huyo Mungu alitoa utashi, akili na uhuru wa kuamua jema na baya, Watu wakitumia akili, utashi na uhuru huohuo waliopewa kutomwabudu, wewe mbona unahangaika hapa kutaka watu wamwabudu huyo Mungu?Mungu hakuumba Robit aliumba watu na kuwapa utashi na akili za kuamua jema na baya Ndio maana huwezi jisaidia haja kubwa sebuleni akiki ibakutuma.uende chooni na pia uhuru wa kusema uabudu au la ni wako
Ukigoma utajijua
Thibitisha kanisa lako ni la kweli na makanisa mengine si ya kweli.Kanisa sio jina ni mfumo .wa ibada he umejikita kwenye kuabudu Mungu? Majina ya makanisa yako mabilioni.Cha kuangalia si jina tu
Wewe ukiambiwa uachane na kanisa lako utakubali?Ndio maana nikasema kwenye maada waumini waachane na makanisa ya kinabii yako maelfu yenye majina tofauti tafauti ila tabia yao moja yako fungu la makanisa ya kinabii