Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,623
Najua watu wengi mnatumia app ya Xender kuweza kurusha vitu mbalimbali ila Sio Salama kwako ? [emoji848]
App ya Xender ni moja wapo ya app ambayo inatumiwa Sana ulimwenguni kwani husaidia kuweza kuhamisha vitu kama vile picha ,video , audio, documents ma file makubwa Kwa madogo kutoka simu moja kwenda nyingine.
Ila app ya Xender sio Salama kwako !!! Ni moja app ambayo inaongoza kueneza virusi pia kuchukua taarifa za ki binafsi za mteja bila kujua na kuziuza.
Achana na XENDER [emoji3]..!!
Tumia "files by google" ni app nzuri Sana ya kuweza kuhamisha kitu chochote kutoka Kwenye simu moja Kwenda nyingine bila shida yoyote ile.
• utaweza kushare kitu chochote offline Utumi mb
• unaweza kuongeza nafasi ya simu Yako
• unaweza Fanya backup za taarifa zako Kwenye cloud mbalimbali Ili ikitokea umepoteza au kuibiwa simu utaipata.
Nilichokipenda zaidi unaweza kurudisha kitu ulicho kidelete kuanzia Kwenye memory card au internal storage picha, video , apps , documents nk.
File lolote unalotuma liko Salama pia data zako ziko Salama huwezi kuathilika pia ikitokea unataka kuinstall app ambayo Ina virus itakujulisha
Jinsi ya kutumia ni rahisi fungua iyo app ya files by google >>utaona neno share utaweza kushare kitu chako chochote kile.
Achana na [emoji3]Xender Tumia Files by Google
Ebu tuachie maoni Yako unatumia app gani kurusha picha , video , documents , apps kutoka Kwenye simu kwenda nyingine ?