enjai ya kyasha JF-Expert Member Apr 6, 2017 3,065 3,585 Jun 1, 2017 #2 Kweli we acha kitu kinaitwa stress
The Chosen One JF-Expert Member May 24, 2017 3,577 17,003 Jun 1, 2017 #6 Dah kweli kabsa juzi tu nilienda uganda
M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,135 Jun 1, 2017 #8 Kweli Mugabe will never be gone. With these wise sayings, we shall always look him up.
C Credere Potest JF-Expert Member Feb 26, 2016 217 298 Jun 1, 2017 #9 Hahahaha! Huyu mzee sikuhizi nimejikuta huwa nafuatilia sana Quotes zake sana.,....achana na kitu kinaitwa Stress jamani
Hahahaha! Huyu mzee sikuhizi nimejikuta huwa nafuatilia sana Quotes zake sana.,....achana na kitu kinaitwa Stress jamani
mshipa JF-Expert Member Jun 16, 2015 12,160 22,615 Jun 1, 2017 #10 hv haya maneno anayasemaga Mugabe au watu wanamlisha tu maneno
mwanadome JF-Expert Member Jul 29, 2015 4,912 5,255 Jun 1, 2017 #12 mshipa said: hv haya maneno anayasemaga Mugabe au watu wanamlisha tu maneno Click to expand... Hata mimi hua nakua na mashaka sanaaa kuamini ikiwa kweli ni maneno ya mugabe
mshipa said: hv haya maneno anayasemaga Mugabe au watu wanamlisha tu maneno Click to expand... Hata mimi hua nakua na mashaka sanaaa kuamini ikiwa kweli ni maneno ya mugabe
P Pricillah JF-Expert Member Mar 20, 2016 722 258 Jun 3, 2017 #14 Teh teh teh unafikiri tunazipenda mkuu, ila ni hali isiyoepukika katika maisha ya binadamu
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 21,236 36,272 Jun 3, 2017 #15 Acha na mimi niangue kilio hapa iihhhhiiiihhhh iiiihhhhhh mamaaaaaa iiiiiihhhhhhiiiihhhhhh iiiiihhiiiiihhhhhhh
Acha na mimi niangue kilio hapa iihhhhiiiihhhh iiiihhhhhh mamaaaaaa iiiiiihhhhhhiiiihhhhhh iiiiihhiiiiihhhhhhh