Achana na Senzo, Barbara huyu dada ana connection balaa

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,634
7,005
Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.

Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.

Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu. Hongera madame CEO.Simba to next level

Simba nguvu moja
 
Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.
Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.
Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu.
Hongera madame CEO.Simba to next level

Simba nguvu moja

Seriously,
Maisha ya sasa, hasa katika nyanja ya biashara ni lazima uwe na connections.
Napenda sana namna Madam CEO anajaribu kui_''cycle'' Simba na wadau muhimu wa mpira kwenye mawanda ya kimataifa.

Naiona Simba inazidi kuwa kubwa sana miaka ya karibuni na huyu dada ana mchango mkubwa sana.

Hats off to her.
 
Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.
Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.
Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu.
Hongera madame CEO.Simba to next level

Simba nguvu moja
Akili za kuambiwa changanya na zako....MO hakuwahi kumpenda Senzo ..pata picha pale Boss wako anavyokuwa hakupendi kila ukipeleka mpango mezani anaupiga chini...we acha kabisa...Huyu mwanamke "ni pendo la MO" saana ndio maana kila aombacho anapewa kumbuka bado yupo mafunzoni jinsi ya kuongoza soka lakini watanzania na ulimbukeni wetu tukiongozwa na wachambuzi mandazi wa soka letu tunaona eti kafanya makubwa ...hamna kitu...CEO wa sasa Simba baada ya Senzo ni General wa zamani kutoka NSSF nadhani mnamfahamu (Magori) yule mwanamke yupo pale kama picha tu kingereza kingi tu
 
Back
Top Bottom