Achana na Hisense, kuna TV aina ya Ailyons ziko poa sana

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250616_131434_0000.png

Najua Hisense ni brand kubwa ulimwenguni ilo halina ubishi lakini maisha yanakwenda kasi na Teknolojia inazidi kubadilika mambo mengi yananadilika leo nakuambia mambo muhimu unapaswa kuyafahamu kuhusu Aliyons Tv.

Kama unahitaji Tv yenye bei ya affordable, ikiwa na ubora wa hali ya juu kuanzia kwenye Quality ya Picha na connectivity basi hii brand ni kiboko Aiseeeh unajua kwanini;

3_20250616_131434_0002.png

💡 Inatoa picha zenye ubora wa hali ya juu
Muundo wa Tv nyingi za Aliyons zinatoa picha kali zenye kuvutia machoni mwako ikiwa na Kioo ambacho ni full HD with vibrant Color inayokufanya utizame video mbalimbali kwenye tv yako bila kuumia macho.

💡 Sleek design
Muundo wake ni mzuri kwa kweli yani muundo wake ni mwembamba usio na frame nyingi kuifanya Tv yako kuwa na Muonekano wa kisasa.

5_20250616_131435_0004.png

💡 Multiple connectivity option
Unapotumia hizi Tv zinakupa uwezo wa kufanya chaguzi mbalimbali kwenye upande wa kuunganisha na vifaa vingine kama vile Simu, Kompyuta, kingamuzi kupita waya wa HDMI na USB zenye Teknolojia huku usafiirishaji wa data ukiwa fast.

2_20250616_131434_0001.png

💡 Support android apps
Tv nyingi za Aliyons zina support mfumo wa android apps ambapo unakupa uwezo wa ku install apps mbalimbali kwenye tv na kuweza kuzitumia kama ilivyo kwenye Hisense, Samsung,Lg, Lcd bila kusahau uwezo wa kutumia Netflix na YouTube.

Aliyons tv smart ni balaaa_20250616_131701_0000.png

Aliyons ni brand iliyoanzishwa mwaka 2016 kupitia muunganiko wa Teknolojia na ufundi wa kipekee wakazalisha vitu mbalimbali vya Nyumbani wakiwa na falsafa yao inasema " Smart Life, Your Choice". Hakika jamii nyingi inaipenda sana hii Kampuni imekuja kuwasaidia watu wengi kuweza kumiliki Tv.
 
View attachment 3371513

Najua Hisense ni brand kubwa ulimwenguni ilo halina ubishi lakini maisha yanakwenda kasi na Teknolojia inazidi kubadilika mambo mengi yananadilika leo nakuambia mambo muhimu unapaswa kuyafahamu kuhusu Aliyons Tv.

Kama unahitaji Tv yenye bei ya affordable, ikiwa na ubora wa hali ya juu kuanzia kwenye Quality ya Picha na connectivity basi hii brand ni kiboko Aiseeeh unajua kwanini;

View attachment 3371514

💡 Inatoa picha zenye ubora wa hali ya juu
Muundo wa Tv nyingi za Aliyons zinatoa picha kali zenye kuvutia machoni mwako ikiwa na Kioo ambacho ni full HD with vibrant Color inayokufanya utizame video mbalimbali kwenye tv yako bila kuumia macho.

💡 Sleek design
Muundo wake ni mzuri kwa kweli yani muundo wake ni mwembamba usio na frame nyingi kuifanya Tv yako kuwa na Muonekano wa kisasa.

View attachment 3371516

💡 Multiple connectivity option
Unapotumia hizi Tv zinakupa uwezo wa kufanya chaguzi mbalimbali kwenye upande wa kuunganisha na vifaa vingine kama vile Simu, Kompyuta, kingamuzi kupita waya wa HDMI na USB zenye Teknolojia huku usafiirishaji wa data ukiwa fast.

View attachment 3371518

💡 Support android apps
Tv nyingi za Aliyons zina support mfumo wa android apps ambapo unakupa uwezo wa ku install apps mbalimbali kwenye tv na kuweza kuzitumia kama ilivyo kwenye Hisense, Samsung,Lg, Lcd bila kusahau uwezo wa kutumia Netflix na YouTube.

View attachment 3371519

Aliyons ni brand iliyoanzishwa mwaka 2016 kupitia muunganiko wa Teknolojia na ufundi wa kipekee wakazalisha vitu mbalimbali vya Nyumbani wakiwa na falsafa yao inasema " Smart Life, Your Choice". Hakika jamii nyingi inaipenda sana hii Kampuni imekuja kuwasaidia watu wengi kuweza kumiliki Tv.
Itakuwa Chinese miracles
 
Back
Top Bottom