"Nakutaka piya , nakupenda piya mpenzi we"Michael Jackson.. Liberian girl😀😀😀😀😀😀ngoja watu wake waje
"Nakutaka piya , nakupenda piya mpenzi we"Michael Jackson.. Liberian girl
View: https://youtu.be/f3V-7DEAgdc?si=rPTogwfqnDOCaXFX
Amehlo pata dedication tamu kutoka mzee mc tobby
View: https://youtu.be/f3V-7DEAgdc?si=rPTogwfqnDOCaXFX
Amehlo pata dedication tamu kutoka mzee mc tobby
Tuwaite tu kwa majina yao , maana ikihitajika ushahidi wa utapeli wao si rahisi kupatikana.Wote ni taka taka mkuu.
Alafu kuwaita manabii unawapa promo.
Hawa ni matapeli wasiolipa kod
Ni rafiki wa Tony Kapola huyo.🚮🚮View attachment 3447375
Kama ushawahi kupitia content ya huyu jamaa utajua kuwa hii nchi ina vituko haswaa
Kagame alifungia makanisa haya ya ajabu ajabu sababu ya ujinga wa kama hawa wachungaji wa mchongo🚮🚮View attachment 3447375
Kama ushawahi kupitia content ya huyu jamaa utajua kuwa hii nchi ina vituko haswaa
waislam waliishajiingiza kwenye ukristo wajipigie hela bwerere, still hawana upako kwenye mafundisho yaoNi rafiki wa Tony Kapola huyo.
Pia ni muislamu ila yupo kwenye ukristo kupiga hela.