"Acha watafune, tutachanga tena" ni kauli inayohuzunisha toka kwa baadhi ya wanaCHADEMA

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,291
Reaction score
39,975

“He Killed My Ma, He Killed My Pa… I'll Vote for Him”​

Hiyo ilikuwa slogan ya wafuasi wa dikteta Charles Taylor wa Liberia mwaka 1997 kwenye uchaguzi mkuu baada ya kuisha kwa vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1996. Vijana walijitoa ufahamu na kudai hata kama Taylor aliwaua baba na mama zao watampigia kura. Na kweli Taylor alishinda kwa 75%. Mara baada ya kuwa Rais, ukatili wa Charles Taylor ukaongezeka mara dufu. Vijana waliompigia kura waliuwawa kama kuku. Baada ya muda mfupi Liberia ikaingia kwenye vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe.

Hawa vijana wa Liberia hawana tofauti na hawa vijana wa CHADEMA wanaodai hata kama michango yao inatafunwa na viongozi wao watachanga tena. Ni vijana wa hovyo walioamua kujitoa akili. Nyie wafuasi wa CHADEMA hamuoni kuwa viongozi wenu wakipata madaraka nchini watakuwa wapigaji wasio na mfano? Kama pesa zenu kidogo wanazitafuna bila aibu wala woga vipi wakikabidhiwa hazina?

Ninawasihi vijana wa vyama vyote kutokuwa kama kondoo kukubali mambo ya hovyo kisa yamefanywa na kiongozi wa chama chako. Tumia akili ulizopewa na Mungu.
 
 
Kama una miaka chini ya 35 na uko cmm jitie dole nyuma afu useme mimi n maku. Heri yao wanachangiana mbona nyie mmefilisika hadi mnauza dhahabu ya nchi pumbaavu sana.
 
Kama una miaka chini ya 35 na uko cmm jitie dole nyuma afu useme mimi n maku. Heri yao wanachangiana mbona nyie mmefilisika hadi mnauza dhahabu ya nchi pumbaavu sana.
Nimeandika uzi kwa ajili ya watu kama wewe. Kimsingi nyie ni maiti zinazotembea.
 
Nimeandika uzi kwa ajili ya watu kama wewe. Kimsingi nyie ni maiti zinazotembea.
i wish ningekujua wewe ndo ujue mim ndo nani shenzi wewe hata hao ccm wenyewe hawajui la kufanya unajidai kuleta vitisho hapa kafie mbele mbwa wewe hata samia mwenyewe hana ubavu wa kuandika ulichokiandika kunguru wa wa kijani wewe. Mwaka huu mtaibika sana
 
Inatakiwa mdai ongezeko la posho toka buku saba hadi elfu kumi,nchi ina pesa za kutosha baada ya kuuza dhahabu!
 
Nyie mwisho wenu umefika yaani katika mtu nina hasira naye ni yule aliye saini stand ya mwendokasi ijengwe jangwani watu kama wale china wananyong'wa hadharani shubamit
 
Kama mlitegemea hili la pesa binafsi za Lisu mtalitumia kipropaganda kutuzuia kuichangia cdm, basi mjue mmefail asubuhi na mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…