gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
- Thread starter
- #21
Mkuu huwez kua serious mkuuNaimani na magufuli, tutafika pazuri kama tutashirikiana naye katika kazi kwa maarifa.baada ya marehemu nyerere maraisi watatu waliofuata walituzorotesha (hawakuwa na vission,sasa tunaye mtu mwenyemisimamo sio mvaa cheni shingoni ama mswahili wavijembe bila kazi yamana.
Let me ask u kama ana uweO wa kufanya vitu anavyotakiwa kufanya waziri wake wa wizara husika je kwann waziri asijiudhuru au wakat anafanya hayo waziri wake anafanya nn?sema amemis media kama kawaida yake basi tutaelewa we dont need drama