Acha voda waendelee kuringa

Acha voda waendelee kuringa

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,820
Hakuna namna, kama wew unategemea internet katika kufanya kazi zako huna namna ya kuwakwepa voda, maan mitandao mingine hakuna kitu, slow sana. Airtel wana bando za maana sana ila internet ipo slow sana haifai kabisa. Voda endeleeni kutamba, hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasi ya mtandao wa internet kwa Tanzania tuko nyuma sana tunashindwa na kenya, uganda hata Rwanda sijui tatizo ni nini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kweli Voda wanakasi lakini wezi Sana yaani Mia 5 mb 70 Ni upuuzi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mia5 kivipi iwe mb70?
Screenshot_20200202-124224~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tunahama kwa hasira ila kinachotukuta huko kwingine ni balaa internet speed ya konokono kama una haraka zako unaweza kubamiza simu sakafuni kwa hasira. Naunga mkono hoja
 
Kwani Nani kakwambia voda hupati mb500 kwa iyo jero yako Tena unapata + dakika15 mitandao mingine na 35 voda to voda 24hrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni ya kwako tu, wengine je? Wanatumia ile mbinu ya "DIVIDE AND RULE" wanajua tu mtu akiwaponda kuna atakayewatetea. Wao wako tu pembeni wanasikilizia .
 
Hallotel had leo hawana 4g yanini kwangu....Voda vifurush vyao ghali... Airtel wako na tatizo la mtandao wa data yan muda wowote utashangaa wako off...Tigo uwiiiiiiiiiii wako ghali mb zakunusa....Ttcl wako na vifurush rahisi na mb nyingi ukilinganisha na hao wengine ila 4g inasehem na sehem yan mtaa huu unaipata mtaa mwingine holla yan haiko full covered.Kibabe kwa sasa niko Airtel 2gb 2000 kwa siku 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna namna, kama wew unategemea internet katika kufanya kazi zako huna namna ya kuwakwepa voda, maan mitandao mingine hakuna kitu, slow sana. Airtel wana bando za maana sana ila internet ipo slow sana haifai kabisa. Voda endeleeni kutamba, hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom