Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,495
- 5,529
Habari za wakati;
Watu wengi sana wana ndoto za kuwa wafanyabiashra na wajasiriamali.Leo nataka nisisitize jambo moja la muhimu sana ambalo kila mjasiriamlai tarajali anapaswa kulifahamu na kulielewa.ACHA VISINGIZIO.
Watu wengi sana huwa hujikuta wakishindwa kufanikiwa katika biasahara na ujasiriamali kwa kukosa ujasiri na kuwa na visingizio.Ndio visingizio,
Kuna wanaosema hawana mitaji,hamna wateja,hawana ujuzi,hawana uzoefu.n.k.ni msururu wa visingizio ili tu wajisiki vizuri.Leo nataka tujadili kuhusu visingizio na namna ambavyo vinaathiri mafanikio yako.
Kisingizio kinaweza kuwa "genuine"au imaginary.Vyovyote vile kisingizio huwa kina mfanya mtu apate sababa ya kuokufanya au kokosea.inampa mtu faraja na kumtia moyo anaposhindwa kutimiza malengo yake.
Tabia ya kupenda visingizio ikiota mzizi huondoa uwajibikaji a hivyo unajikuta unapoteza umakini katika mambo unayofanya.Hili ni tatizo.
Je wewe ni mjasiriamali?Je umekwama katika mtego wa visingizio?Unataka kubadilika?Tujadili hapa namna ambavy unaweza kubadili na kuishinda tabia ya visingizo.
Karibuni
Iwpo unahitaji ushauri kuhusu biashara,ujasiriamali,uwekezaji,elimu na self management tafadhali wasiliana nasi kwa njia ya email.masokotz@yahoo.com
na wataalamu wetu wtakupa mwngozo wa namna bora ya kuishi maisha yako katika kiwango kingine
Karibu