Acha tuone umbo lako

Acha tuone umbo lako

Du! Kumbe mnapenda attention hivyo? Shaurizenu, olewenu mkutane na "predators" hawaachii kitoweo!
kuolewa nako mmmh!!!!! nataka nitege barabarani ndoo raha kila nikipita macho ya wanaume kwangu huku najifanya nafunika afu pochi inanisaidia kufunu we acha kabisa kutega raha jamani
 
kuolewa nako mmmh!!!!! nataka nitege barabarani ndoo raha kila nikipita macho ya wanaume kwangu huku najifanya nafunika afu pochi inanisaidia kufunu we acha kabisa kutega raha jamani

Hahahha...kumbe makusudi??.haya bwana...ila nilikuwa napinga sana "Islamic Sharia" (wengine wanaiita "Sharia Law").. Lakini sasa nadhani dawayenu ni katiba mpya kuwalazimu kuwa mnavaa hijabu!
 
Hahahha...kumbe makusudi??.haya bwana...ila nilikuwa napinga sana "Islamic Sharia" (wengine wanaiita "Sharia Law").. Lakini sasa nadhani dawayenu ni katiba mpya kuwalazimu kuwa mnavaa hijabu!

kuna maijabu yanampasuo mkuu we acha kabisa nikitaka kukutega hata nikivaa gunia naweza ....
 
Habari zenu wana Jamii Forum,

Hivi inakuwaje mdada amevaa KIMINI halafu akifika mbele za watu anakilazimisha kukivutia chini?Jamani huu si ujinga hata upepo ukimpuliza anakishikilia na ukikiona hicho kimini kilivyovaliwa ni sawa na nusu uchi.

Acheni tuone hilo umbo inakishusha cha nn jamani si umetaka kutuonesha utamu wacha tuupate,dadaz kuweni wastaarabu kiaina vaa kiheshima kidogo.

Kiongozi itabidi tutengeneze "movement" ya kulazimu katiba mpya kuweka kipengele kinacholazimasha wasichana kuvaa hijabu
 
babueee kusubiria mguu unenepe lini.. huo huo ndo unafaaa kuvalia kimini ... aku mie vimikono vyangu vionekane tutajuana mbele ya safari

Hahahaha ila usiombe mvua ikanyesha maana utatitia Miss Chagga


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
We acha tu, na mnavyojua mitego tena usiombe muwe mnashuka garini mkiwa mmevaa vimini kwa kweli ni hatari, mimi kuna dada sikuamisha macho nilikua namuangalia kwa msimamo na nikaona anajua kinachofanya nimwangalie na ndani alikuwa hajatupia kufuli baada ya kushuka huku nikiwa nimemkazia mwenyewe akanisalimia "mambo" nikajibu safi.

Nilisafisha macho bure bila ya gharama yoyote, kwa kweli hii dunia bila ya wanawake ilikuwa haina maana yoyote, kweli raha sana

Hawa watu kwakweli hawafai...wanaweza kufanya hata "head of state" akapagawa!
 

Attachments

  • 1400763146440.jpg
    1400763146440.jpg
    32.1 KB · Views: 140
[QUO TE=miss chagga;9603333]aaaah wapi? mimi vimiguu vyangu vinanguvu acha kabisa[/QUOTE]
Tatizo sio nguvu tatizo ni wembamba ukikutana na udongo tifutifu ulionyeshewa mvua kutitia ni lazima



Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
[QUO TE=miss chagga;9603333]aaaah wapi? mimi vimiguu vyangu vinanguvu acha kabisa
Tatizo sio nguvu tatizo ni wembamba ukikutana na udongo tifutifu ulionyeshewa mvua kutitia ni lazima



Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app[/QUOTE]

mmmh aya bwana umeshinda wewe
 
hua najiuliza sana nikwanini mungu kawaumba vile wanawake wazuri kiasi hichi
 
Tatizo sio nguvu tatizo ni wembamba ukikutana na udongo tifutifu ulionyeshewa mvua kutitia ni lazima



Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

mmmh aya bwana umeshinda wewe[/QUOTE]

Hahahaha hakuna mshindi wala mshindwa


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
kumbe tunatega tu ili uzidi kutolea macho... kwa sababu nikijivuta juu kinapanda tena afu nashusha... au nainama naweka mkono kiuononi hapo lazima uangalie tu......

Ukiinama una shika nguo nyuma ili shanga/cheni au pichu isionekane
 
Cha ajabu kavaa kimini vimiguu vyenyewe vyembamba kama spoku za baiskeli.

heee spoku za bikee inahusu!!! anaingia alichopewa! tena uwe na adabu uache kumkosoa mungu..mdomo uliponza kichwaa! na ww vaa kaptula tuone miguu yako kama chupa ya moet! au ya mbege
 
Wanawake sijui niwaiteje! Sio wote lakini wengi wao hawajiheshimu, hawajui thamani waliyo nayo. Kuna mambo mengi ya kuelezea hili ila nitaeleza machache.
Achilia mbali kuvaa Kimini. Wapo wanao jipaka nguo, wanavaa nguo ambazo ni kama ngozi yao ambazo zinauchora mwili kama ulivyo. Nguo nyepesi lain alaf zimebana mpk maumbile nyeti yanaonekana.
ImageUploadedByJamiiForums1400770358.358624.jpg

Wengine ni Balaa, wanavaa nguo mchana kweupe pee, nguo nyepesi zinazo pitisha mwanga, unaona kila kila kitu"transparent" mf nguo ya juu nyeupe andawea nyeusi, balaa
Wanawake wengine wanavaa aina gulani ya mlegezo hivi, wakikaa suruali au sketi inashuka kidogo, utaona lile bonde la ufa,chupi na wengine hata chup hahavaii!
Kuna wanao vaa wanaacha manyonyo nje mgongo na tumbo! Hap wengine mtanisaidia( msiniulize mbona wahindi wanaacha matumbo yao nje)
Haya yote ni kwa sababu gani?
Tulipo kuwa wadogo wadogo, nilikuwa nasikia watoto wa kike wakikutwa au wakiwa uchi Utasikia weee funika na kibao juu! Leo tumesahau? Wakubwa mbona tumekuwa kama mbuzi? Tunakwenda wapi?
 
Mhhh hzo picha apo juu hata nguo kavaa kweli mbona ni kama anachorwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom