Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Huu ni ujumbe uliokutwa kwenye karatasi aliyokutwa nayo marehemu. Ni kijana mmoja wa jijini Dar es Salaam aliyekutwa amejinyonga kwa kutumia mkanda wa begi jana. Ni ujumbe huo tu ndio uliokutwa kwa marehemu. Tusaidiane waungwana,marehemu alimaanisha nini hapa? Kuna sababu nzito za kutoa kauli hii? Hakuna jinsi?
Chanzo: Jambo Leo la 3/7/2014
Chanzo: Jambo Leo la 3/7/2014