October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Unajikanyaga then unalia unasema mengi alitafuta mtaji tu then akasepa kwenye hiyo fani yake sio.Umepoteza pesa zako bure kusoma huko kwingine hujasomea unafanya kibabaishaji tu.Waganda na Wakenya wakisomea ualimu Kama wewe wanaungana mfano wewe umrsomea ualimu wa masomo ya sayansi unaungana na waliosomea masomo ya Arts mnatafuta majengo ya kupangisha mnafingua Shule wamiliki ninyi wenyewe na walimu ninyi wenyewe
Mwalimi kwenda kuwa DJ Ni mis allocation of resources.Elimu Kazi yake kunoa talent yako kwenye eneo husika .Sasa wewe na u DJ si unababaisha tu huko.
Mengi alianza Kama mhasibu akajenga capital huko ndio akaanza kuanzisha biashara zingine kwa kutumia wataalanu waliosomea maeneo husika.
Kwa mwalimu kuanza na entertainment business Ni kuanza maisha kwa mguu wa kushoto.Ungekuwa ulisomea ualimu wa muziki nikupongeza kuwa uko sahihi.Lakini Kama umesomea mengine.na unaanza biashara ya KU burn CD na kuingiza nyimbo kwenye simu za watu hapo hapajakaa vizuri
mwambie mkuu hasikaliliUnajikanyaga then unalia unasema mengi alitafuta mtaji tu then akasepa kwenye hiyo fani yake sio.
Mkuu nielezee nimepotezaje pesa while I Chase Money Here kwako kupoteza pesa kunamaana gani labda nikufanya ulichosomea huku unakufa njaa labda not serious.
Una story yoyote ya walifanikiwa kwa kufanya walichosomea then nitakuletea story 100000 za walopiga take walichosomea na kutusua unazani JeffBezos kasomea finance, Mengi kasomea Habari, Viwanda nk.
Hawo waganda unaowasema wanamafanikio gani mbona mimi siwajui.
Unaposema kibabaishaji unamaanisha nini.
Uwezi jiita Enterprener alafu unajifunga na elimu yako wewe huna tofauti na mtumishi tu nani alikulazimisha kwakuwa wewe mwalimu uanzishe tuition nasii kiwanda cha juisi.
Nani kakukaririsha kuwa ulichosomea ndio lazima ufanye biashara hio? Kuna mtu nilifanya nae biashara mwisho akaniuliza umesomea SALES? Nikamwabia hapana,kwanini umeniuliza, akajibu kifupi 'maaan you can sale'. Mwingine ni rafiki yangu wa utotoni. Huyu alikuja ofisini kwangu mwisho akaniuliza....' rafiki nakumbuka ulikuwa chuo unasomea so and so? haya unayofanya leo umesomea wapi,uko so deep'....nilibaki nacheka. Usikariri mzee, unaweza kusomea hiki lakini mwisho wa siku ukafanya kitu tofauti haina maana kuwa ulipoteza muda kusoma ulichosomea kwa njia moja au ingine kinakusaidia tuUmepoteza pesa zako bure kusoma huko kwingine hujasomea unafanya kibabaishaji tu.Waganda na Wakenya wakisomea ualimu Kama wewe wanaungana mfano wewe umrsomea ualimu wa masomo ya sayansi unaungana na waliosomea masomo ya Arts mnatafuta majengo ya kupangisha mnafingua Shule wamiliki ninyi wenyewe na walimu ninyi wenyewe
Mwalimi kwenda kuwa DJ Ni mis allocation of resources.Elimu Kazi yake kunoa talent yako kwenye eneo husika .Sasa wewe na u DJ si unababaisha tu huko.
Mengi alianza Kama mhasibu akajenga capital huko ndio akaanza kuanzisha biashara zingine kwa kutumia wataalanu waliosomea maeneo husika.
Kwa mwalimu kuanza na entertainment business Ni kuanza maisha kwa mguu wa kushoto.Ungekuwa ulisomea ualimu wa muziki nikupongeza kuwa uko sahihi.Lakini Kama umesomea mengine.na unaanza biashara ya KU burn CD na kuingiza nyimbo kwenye simu za watu hapo hapajakaa vizuri
Kwangu mm elimu kwa tanzania naona mwisho ni form 6 tu na jkt vinatosha sana kukupa uwezo wa kupambana na maizha ya mtaaa
Sija idharau elimu ya chuo, elimu yetu ya chuo wanaofaidika ni wale watu wa science yan zile faculties zote karibia 80% wanaosoma sayani wanafaidika nazo kwasababu wanaenda apply walichosoma uko kazini pia mtu kama mfamasia anaweza fanya kazi pia akatumia cheti chake kufungua duka la dawaa hapo kaingia kwenye biashara sasa ambapo itakuwa ngumu mtu kama ww albae hujasoma famasi kufungua duka, ambapo itakuhitaji kumfuata mfamasia akusaidie cheti. Uo mfano tu
Kwa mda niliokaa chuo nilipata faida ya exposure ya kukutana na watu mbalix2 ambapo utabadilka uwezo wa kufikiri kutonana watu hao kama utakua mtu wakujifunza kutokana na watu pia kubadili mazingira ni kitu muhimu sanaa katika kujifunza mfn ulitoka kwenu Kongwa ukaenda Mwanza sauti hapo utajifunza fursa mpya zitokanazo na ziwa na vitu kibao amabapo kongwa hakuna
Pia unapokua chuo vile kusoma fu mavitu ya chuo yale magumu kidogo na akili nayo inapanukaa kwaiyo utaweza chakata mambo kwa level ya tofauti na mtu ambaye hajafika chuooo,
Chuo watu wanasoma kazi ila sio ujanja wa maisha ujanja utaupata baada ya kutengeneza connections za kutosha na kukubali kuchange kutokana na mazingira na watu
Ushauri wangu:
saiv una 26 na upo vizuri tayar kwenye biashara zako, ni bora ukasoma mambo ya biasahra uku ukijikita zaidi kwenye biasahra zako hapo unaweza soma madarasa ya jioni au open ili upate mda mzuri wa kufanyaa biashara kwa sana na masomo, umri umeenda kidogo sio muda wakusoma unachotaka ila upo katika umri wa kujifunza zaidi katika kile ulichofanikiwa nacho zaidi
Unaikataa shule huku naikubaliKama umeishia darasa la saba tu nakushauri utafute muda ukasome
Ila kama umeishia form 4, huko mbele hakuna jipya sana litakalokusaidia kwenye kile unachokifanya
Mimi nilimaliza chuo nimeajiriwa kampuni mbili, ila elimu niliyokuwa na apply kazini ni ya form 4 tu ukiacha zile training ambazo hata mhitimu wa form 4 mwenye kichwa kizuri angezielewa
Nimejiajiri na bado sija apply elimu yangu ya form 6 au chuo, japo inaniwezesha kuulewa mambo mengi kwenye habari na matukio ya kila siku duniani tofauti na ningeishia form 4
Ndugu yangu hapo nadhani umepotosha maana hiyo biashara wanaifanya haya ambao hawajasoma na wanatuajili Sisi tunaodhani kuwa tuwa temesomaKuna biashara lazima uwe umesoma zingine huhitaji.mfano biashara za madawa ya binadamu na mifugo nk lazima uwe umesoma
Huo ndio ukweli japo watu hawapendi kuambiwa hivyo.kwani nchi Kama China mbona watu wamejua ukweli na wakaufanyia Kazi sahzi wamefka mbaliWahindi ,waarabu ,wapemba ulishasikia wanalilia ajira? Watoto wao husoma madigrii kwa ajili ya kuendesha biashara zao.Hao Akina Mohamed dewji Wana digrii kibao .Mtu mfano anasoma digrii ya kilimo nyumbani Kuna eneo kubwa la shamba akirudi analala anaamka anasibiri ajira!!!
Mtu anasomea ualimu ili mwisho wa siku.iwe Nini? Unakuta kamaliza kakaa tu hawezi fungua hata Shule ya chekechea chumba Cha kupanga.Unakuta wasio na digrii za ualimu ndio wenye Shule za chekechea mitaani na wanapata pesa hasa.Msomi wa digrii ya ualimu.yupo yupo tu anasubiri ajira ya ualimu wa secondary chekechea hawezi!!!!!
Wewe acha uboya wewe!!!Umepoteza pesa zako bure kusoma huko kwingine hujasomea unafanya kibabaishaji tu.Waganda na Wakenya wakisomea ualimu Kama wewe wanaungana mfano wewe umrsomea ualimu wa masomo ya sayansi unaungana na waliosomea masomo ya Arts mnatafuta majengo ya kupangisha mnafingua Shule wamiliki ninyi wenyewe na walimu ninyi wenyewe
Mwalimi kwenda kuwa DJ Ni mis allocation of resources.Elimu Kazi yake kunoa talent yako kwenye eneo husika .Sasa wewe na u DJ si unababaisha tu huko.
Mengi alianza Kama mhasibu akajenga capital huko ndio akaanza kuanzisha biashara zingine kwa kutumia wataalanu waliosomea maeneo husika.
Kwa mwalimu kuanza na entertainment business Ni kuanza maisha kwa mguu wa kushoto.Ungekuwa ulisomea ualimu wa muziki nikupongeza kuwa uko sahihi.Lakini Kama umesomea mengine.na unaanza biashara ya KU burn CD na kuingiza nyimbo kwenye simu za watu hapo hapajakaa vizuri
Mkuu Huna Mpango Wa Kuwekeza Bongo ?Asante
Kwani Kuwekeza Huku Lazima Urudi Ukae Huku ?Tutarudi ndo tulikotoka huko