Alimaliza kwa kuniambia kwamba yeye binafsi alijutia sana muda alioupoteza chuo kikuu na elimu ya chuo haikumsaidia kitu,
Hahaaa! We jamaa bana, kuwapa wenzako haya maushauri ni rahisi sana, ila nadhani hujawahi kuwa na ndugu aliyesotea ajira.Huyo hakujiekewa toka mwanzo
Kusoma Ni uwekezaji.You invest in yourself.Kabla ya kuanza kusoma inabidi ujue unakljiwekeza kwenye Nini ili mwisho wa siku uwe Nani au ufanye Nini.Ukishapa jibu ndio unaanza kusoma ili ufikie lengo.Mfano nataka kuanzisha dispensary mbeleni .Naanza kusoma kwa nguvu masomo ya sayansi ili niende chuo kikuu kusomea udaktari.Nikimaliza nasaka mtaji wa kuanzisha dispensary .Napanga nyumba naanza kadispensary kangu kadogo
Mtu Kama Mimi siwezi jutia kuwa elimu nilisoma hainisaidii au nilipoteza muda kusoma.Wanaosoma Bora liende ndio wenye mitizamo Kama huyo.
Colonial education."I was born intelligent! Education ruined me!
Jibu lipo hapoAliniambia nifanyie tasmini miaka misaba ya shule na
Miaka misaba ya kufanya biashara.
Hahaaa, we jamaa bana kuwapa wenzako haya maushauri ni rahisi sana, ila nadhani hujawahi kuwa na ndugu aliyesotea ajira
Good Hint!Mtu unatakiwa usome katika kiwango anagalao cha degree moja ndipo uanze michakato ya biashara Kama unaona unakipaji nayo, maana biashara Ni kipaji pia, sio kila mtu anaweza kufanya biashara.
Kiwango cha wastani wa degree kitakusaidi kufanya biashara kitaalamu zaidi pia kitakusaidi kuweza kuwasiliana na taasisi za kifedha kwa urahisi zaidi ili kuinua biashara yako au kupata wadau bora wa kukuza biashara yako.
Kwa mfano Utakuwa na uelewa wa kutosha na kuweza kufanya biashara za hisa au hatifungate bila shida yoyote.
Usije ukaishia darasa la Saba au Elimu ya Sekondari halafu ukakataa kupata Elimu ya juu.
Anangalao uwe na degree yoyote Ile.
Wahindi ,waarabu ,wapemba ulishasikia wanalilia ajira? Watoto wao husoma madigrii kwa ajili ya kuendesha biashara zao.Hao Akina Mohamed dewji Wana digrii kibao .Mtu mfano anasoma digrii ya kilimo nyumbani Kuna eneo kubwa la shamba akirudi analala anaamka anasibiri ajira!!!
Mtu anasomea ualimu ili mwisho wa siku.iwe Nini? Unakuta kamaliza kakaa tu hawezi fungua hata Shule ya chekechea chumba Cha kupanga.Unakuta wasio na digrii za ualimu ndio wenye Shule za chekechea mitaani na wanapata pesa hasa.Msomi wa digrii ya ualimu.yupo yupo tu anasubiri ajira ya ualimu wa secondary chekechea hawezi!!!!!
Vizuri sana madam watanzania bana wanaangalia wahindi wa kariakoo ndio wanafikiri india nzima wahindi wapo hivyo.Unajua India ni moja kati ya nchi ambazo zina tatizo kubwa sana la ajira duniani? So usifikiri Watanzania wanaolalamika kukosa ajira ni wajinga sana,
Hawa wahindi unaowaona hapa Tz ni wachache ambao familia zao zilishajijenga tangia mwanzo, hivyo watoto wao hawana shida na ajira
Sasa unategemea watanzania wote wawe kama akina Mo Dewji?
Kujiweka ndani ya box nikusoma ili uje kujiajiri kwenye ulichosomea. Mjasiriamali aliye timamu hajiungi kwenye hilo box simple ili uwe millionea unayekuwa uwe na vyanzo nya mapato visivyopungua saba. Je, kwa box hilo ulojifunga siutakufa maskini tu? Wakina Mengi wamewekeza kwenye niche kibao, Bakhresa, Mo n.k wamewekeza sehemu kibao.Wahindi ,waarabu ,wapemba ulishasikia wanalilia ajira? Watoto wao husoma madigrii kwa ajili ya kuendesha biashara zao.Hao Akina Mohamed dewji Wana digrii kibao .Mtu mfano anasoma digrii ya kilimo nyumbani Kuna eneo kubwa la shamba akirudi analala anaamka anasibiri ajira!!!
Mtu anasomea ualimu ili mwisho wa siku.iwe Nini? Unakuta kamaliza kakaa tu hawezi fungua hata Shule ya chekechea chumba Cha kupanga.Unakuta wasio na digrii za ualimu ndio wenye Shule za chekechea mitaani na wanapata pesa hasa.Msomi wa digrii ya ualimu.yupo yupo tu anasubiri ajira ya ualimu wa secondary chekechea hawezi!!!!!
Mimi nimesomea uwalimu ila nimejiajiri kwenye Entertainment industry nahapa sijapata mtaji wamaana nitafanya usafiri, chakula, viwanda nk...kulazimisha kujiajiri kwenye ulichosomea huna tofauti na aliyeajiriwa wote muko ndani ya Box.
life has no limits mkuu.Umepoteza pesa zako bure kusoma huko kwingine hujasomea unafanya kibabaishaji tu.Waganda na Wakenya wakisomea ualimu Kama wewe wanaungana mfano wewe umrsomea ualimu wa masomo ya sayansi unaungana na waliosomea masomo ya Arts mnatafuta majengo ya kupangisha mnafingua Shule wamiliki ninyi wenyewe na walimu ninyi wenyewe
Mwalimi kwenda kuwa DJ Ni mis allocation of resources.Elimu Kazi yake kunoa talent yako kwenye eneo husika .Sasa wewe na u DJ si unababaisha tu huko.
Mengi alianza Kama mhasibu akajenga capital huko ndio akaanza kuanzisha biashara zingine kwa kutumia wataalanu waliosomea maeneo husika.
Kwa mwalimu kuanza na entertainment business Ni kuanza maisha kwa mguu wa kushoto.Ungekuwa ulisomea ualimu wa muziki nikupongeza kuwa uko sahihi.Lakini Kama umesomea mengine.na unaanza biashara ya KU burn CD na kuingiza nyimbo kwenye simu za watu hapo hapajakaa vizuri